Gadner kama unatusoma au kuna watu watasoma humu mna mawasiliano wakuambie uachana kabisa na huu upuuzi wa jidy, she wont stop until you are finished. Kama angekuwa mungu its obvious angekunyima breath! anachotaka hapo mshindane kutoa pesa kwa mawakili bila shaka akutoe kabisa kwenye reli yako! believe or not its a game with a full budget. inavyoonyesha alikuacha kwa media huko rohoni ana hali mbaya bado anakutaka, anajidai ana furaha ambayo hana. wanaojiita mashabiki wake wako very narrow minded, wanataka wewe tu uwe gunia la mchanga la mazoezi ya ngumi.
siku zote anaamini pesa ina value kuliko utu wa mtu, kwani kuzaliwa mwanaume ni dhambi kutokuwa na hela kama mwanamke! kwani kuna wanawake wangapi wanafadhili game na waume zao lakini utadhani mfadhili ni mwanaume anavyoheshimiwa! man will always be a man. kama kuna wa kumuomba msamaha gadner ni muumba wako sio hiki kibibi kinachotaka ukipigie magoti after everything ili kikutungie nyimbo tena ukiwa umepiga magoti, hahaha. akuache ufanye yako bana, kina roho mbaya kama sura yake, alaaa. kama vipi toa namba au account tupitishe donei uweke mawakili wakukutetea huko mahakamani. mbele kwa mbele