Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Status
Not open for further replies.
mahakama kazi yake nini sasa.........haya majibizano mpaka lini.?
Ukiona hivi ni mwanguko wa nchi, na hili ndilo tunaloombea, wacha zile nyasi , wacha kuwake moto, wacha kushindwe kutawalika ili tuwekane sawa, mambo ya papa fisadi, nyangumi fisadi, mama ya fisadi yanachosha.
 
Naomba kuiwakilisha JF ili niweze kuwapa LIVE .Niko njiani naenda town sasa nipeni mikoba .Nitasimama pale Haider Plaza kujua ukweli wa hizi nyeti.

I was keeping an eye on you.....naona ziiiiiiiiiiiii! kimya vipi huko kny press conference wamewanyang'anya vitendea kazi nini?
 
I was keeping an eye on you.....naona ziiiiiiiiiiiii! kimya vipi huko kny press conference wamewanyang'anya vitendea kazi nini?

Mkuu, ukiona Kimya kingi....

au hakukuwa na jipya. Sasa hivi RA v. RAM ni sawa na vita vya malenga wetu!!. Mashairi yasiyo na vina.

Ngoja wengine turudi kuangalia nini cha kufanya kuinusuru nchi na kurudisha utawala wa sheria.
 
nyadhifa zake
Director for Strategic Planning and Performance Review BOT
Planetel Communications Limited ( 16% vodacom TZ) - lakini sasa hivi ameuza kwa mirambo ltd (who is mirambo ???)


Thanks Semilong, huyu Peter Noni ameamua kujifanya kuuza share but in reality bado shares ni zake under mirambo (who is this mirambo???), Hii ndiyo michezo ya mafisadi. Hela za EPA jamaa Noni alijichotea kama kawa, eti sasa hivi alitumika kama shahidi ku-confirm to the court kuwa anawafahamu wafanyakazi watuhumiwa wa EPA from the BOT kama waajiriwa. Ukweli ni kuwa alitakiwa naye ajiunge nao, ila basi kama alivyojisemea baba yangu Reginald Mengi, vidagaa ndivyo vimepelekwa mbele ya sheria na mapapa wanatanua ndani ya viyoyozi.

Peter Noni ana utajiri mkubwa sana wa investments and liquid money (liquid assets) ambavyo amevipata kwa njia za kifisadi!!!!
 
haya ndiyo madai ya RA dhidi ya mengi
Jumla ya fedha zote za NBC ambazo akidaiwa Mengi kupitia kampuni yake ya Anche Mwedu Limited (AML) hadi kufikia Januari 1996 zilikuwa ni 5,863,002,196.45. Fedha hizi hadi kufikia sasa 2009 pamoja na hesabu ya riba zinafikia takriban bilioni 28.

kwa wale wataalamu wa mahesabu kutoka bil 5 mpaka bil 28 ni riba ya kiasi gani

au ndio kama yale mambo ya mbowe kakopa mil 7.5 anadaiwa mil 229.

lakini kukopa sio dhambi pia kuna bankruptcy laws
RA ni Jangiri
 
Walivyouza NBC haya madeni waliyauza au walifanya nini??
 
Kwa hiyo Mengi mwenyewe hakuwepo?? Wanasheria wameruhusu maswali?
Hiyo Document mbona ni majungu yale yale ya kila siku? Alete angalau Bank accounts au figures fulani,au kuna figures wametoa? LETENI HABARI KAMILI JAMANI!
 
Hebu tizama hapa chini:-


- Mpaka kieleweke, dawa ni kuwafunua tu hawa mafisadi!

FMES!
 
FMes,

Inaumazaidi ukisema hivyo:-
1. Makongoro Mahanga anasema tunawachongea kwa Wananchi tu huku wao wanafanya kazi kweli kutembeza bakuli nje na kuwa tuna WIVU sana kwa mafanikio yao hayo ambayo wamefikia hadi leo.

2. Mkapa, Che Nkapa ndiyo anaenda mbaali zaidi kwa kusema "MITANZANIA MINGINE INA WIVU WA KIJINGA".
 

Ogopa sana Compound Interest!! Hiyo ni riba ya kama asilimia 14% TU!!!
 
Afadhali mzee wangu Mengi alikopa Benki ya NBC, je yeye RA amekopa wapi?? Aweke hesabu ya mikopo yake ya benki katika biashara zake na loan service chart tuone hapa!! Atuambie na main bank account yake RA iko nchi gani??? Atuambie na kutaja biashara zake zote bila kusahau zile haramu za wizi wa nyara za serikali!!! Barati ambaye ni mfanyakazi wake anafahamu siri zote maana yeye ndiye alikuwa anamhusisha sana kwa kuwa he is cheap to do risk businesses mpaka wengine tukaamini pengine Rostam ameshamfanya Barati ndondocha wake maana hataki kuachana na Biashara zake haramu na hajafaidika nazo hata kidogo. Rostam atueleze jinsi gani alivyofaidi biashara haramu ya nyara za serikali kwa falme za kiarabu,, Barati anafahamu hili!!!!! Hata yule kijana wa Sultan alifiwa hotel dara Rostam anafahamu alikuja hapa kwa biashara gani. Please, give me a break!!!

Mpaka niingie kaburini bado nitamheshimu mzalendo Mengi. Tumsimdhihaki kuwa eti huwa hajipangi, ni kuwa anajipanga sana ila ukweli ni kwamba mafisadi papa na mafia kama RA huwa wana ujanza sana maana maisha na biashara zao huwa ni za kijanjajanja tu. Hivyo na maneno yao nayo ni ya kijanjajanja tu. Hana lolote huyo Rostam wenu kwa wale mnaomtetea (vibaraka aliowatuma).

Mengi is my Mzalendo halisi, ni mwananchi.... I salute you....I honour your contribution to the economy of Tanzania.....I honour your dedicated heart to the lives of poor......I honour...... ....nitajaza kitabu!!!! At the same time binadamu hakosi mapungufu yake, kinachojali ni mema yazidi mapungufu. Hapo basi judge the sides of both RA and RM.

Kwa mantiki hiyo mzee Mengi ni ruksa kulonga hadi wajukuu wangu wamfahamu Rostam japo kwa jina through media maana biashara zake zina impact kwa maisha ya mtanzania halisi kama ilivyo kwa impact ya nuclear bombs za Nagasaki na Hiroshima. Kizazi chetu kita suffer a lot impact ya ufisadi na uwekezaji wa kijinga na uuzaji wa mashirika ya umma!!! We are penless!!!! We are and will be homeless in so many ways, we will turn laborers to our own lands!!!!
 

acha uwongo wewe....humjui peter noni.
 
acha uwongo wewe....humjui peter noni.

Yaani hata usitake tuame topic na tuanze na huyu Noni... Ni mwizi wa kupindukia yeye kazi kubadilisha majina mali zake na kuweka majina ya wengine...
 
Yaani hata usitake tuame topic na tuanze na huyu Noni... Ni mwizi wa kupindukia yeye kazi kubadilisha majina mali zake na kuweka majina ya wengine...

huna cha kuandika kaa kimya!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…