Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 885
Teh teh teh.....ni utani tu mzee!The Farmer & Mlalahoi:
I'm completely dis-harmed = sina ganda wala risasi
JF Idumu
Sote tunasubiria ripoti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh.....ni utani tu mzee!The Farmer & Mlalahoi:
I'm completely dis-harmed = sina ganda wala risasi
JF Idumu
Ukiona hivi ni mwanguko wa nchi, na hili ndilo tunaloombea, wacha zile nyasi , wacha kuwake moto, wacha kushindwe kutawalika ili tuwekane sawa, mambo ya papa fisadi, nyangumi fisadi, mama ya fisadi yanachosha.mahakama kazi yake nini sasa.........haya majibizano mpaka lini.?
Naomba kuiwakilisha JF ili niweze kuwapa LIVE .Niko njiani naenda town sasa nipeni mikoba .Nitasimama pale Haider Plaza kujua ukweli wa hizi nyeti.
I was keeping an eye on you.....naona ziiiiiiiiiiiii! kimya vipi huko kny press conference wamewanyang'anya vitendea kazi nini?
nyadhifa zake
Director for Strategic Planning and Performance Review BOT
Planetel Communications Limited ( 16% vodacom TZ) - lakini sasa hivi ameuza kwa mirambo ltd (who is mirambo ???)
Walivyouza NBC haya madeni waliyauza au walifanya nini??haya ndiyo madai ya RA dhidi ya mengi
Jumla ya fedha zote za NBC ambazo akidaiwa Mengi kupitia kampuni yake ya Anche Mwedu Limited (AML) hadi kufikia Januari 1996 zilikuwa ni 5,863,002,196.45. Fedha hizi hadi kufikia sasa 2009 pamoja na hesabu ya riba zinafikia takriban bilioni 28.
kwa wale wataalamu wa mahesabu kutoka bil 5 mpaka bil 28 ni riba ya kiasi gani
au ndio kama yale mambo ya mbowe kakopa mil 7.5 anadaiwa mil 229.
lakini kukopa sio dhambi pia kuna bankruptcy laws
RA ni Jangiri
.
....lakini kukopa sio dhambi pia kuna bankruptcy laws....
WASIFU(CV)YA MAFISADI PAPA:
Fuatilia watuhumiwa hao na tuhuma zinazowakabili.
1. ROSTAM AZIZ: Huyu ni mwanasiasa anayechukuliwa kuwa kinara anayedai kulindwa na kubebwa na nguvu ya kisiasa.
Ametajwa kuhusika na kampuni tata ya Kagoda Agriculture Limited ambayo imekwapua zaidi ya Sh. 40 bilioni kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA). Serikali haijachukua hatua kuhusu tuhuma hizo.
Rostam na kampuni yake ya Afritainer Limited, anatajwa kuwa na uhusiano na Kagoda na kuhusika moja kwa moja na kashfa ya mradi wa umeme wa dharura wa Richmond Development Corporation wenye thamani ya Dola za Marekani 172 milioni (zaidi ya Sh. 206.4 bilioni).
Anatajwa pia katika mradi wa umeme wa Dowans Tanzania Limited iliyorithi mkataba wa Richmond.
2.TANIL SOMAIYA: Pamoja na kuwa mara nyingi huwa anajificha nyuma ya pazia la watu wengine, Tanil anayemiliki kampuni kadhaa, ikiwamo ya uwakala wa Vodacom ya Shivacom, ni mmoja wa watuhumiwa wakuu wa sakata la ununuzi wa rada ya kijeshi iliyoigharimu serikali ya Tanzania zaidi ya Sh. 70 bilioni.
Tanil anatajwa kupitia kampuni yake aliyoanzisha na mwenzake, Shailesh Vithlani, ya Merlin International Ltd.
Mbali na rada, anatajwa katika sakata la ununuzi wa helikopta za kijeshi zinazodaiwa kuwa za viwango duni. Helikopta hizo sita, aina ya Agusta Bell, ziliuzwa na kina Tanil kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa Sh. 50.7 bilioni.
Tanil na mwenzake wanatajwa katika sakata jingine la magari ya jeshi aina ya IVECO yanayokadiriwa kugharimu Sh. 100 bilioni.
3. YUSSUF MANJI: Mfanyabiashara anayeonekana kuogopwa na wengi ndani ya utawala, amehusishwa na ukwapuaji wa fedha za EPA na katika uuzaji wa majengo kwa mashirika ya hifadhi ya jamii ya NSSF na PSPF, yenye thamani ya jumla ya Sh. 83.5 bilioni.
Manji alikopa Sh. 9 bilioni kutoka NSSF na kujenga jengo ambalo aliiuzia NSSF tena kwa Sh. 47 bilioni (ikimaanisha amefanya biashara ya Sh. 38 bilioni chapchap) na wakati huohuo akaiuzia PSPF jengo hilo katika mazingira tata kwa Sh. 36 bilioni huku akiendelea kukaa katika jengo hilohilo bila kulipa kodi. PSPF wameamua kumfukuza.
Alikwepa kodi katika mauzo yote hayo hadi waliposhitakiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Kupitia kampuni yake ya Quality Group Limited, Manji anadaiwa kuingiza Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkenge kwa kuchukua leseni ya kuendesha Bahati Nasibu ya Taifa iliyokuwa inamilikiwa na CCM.
Hadi sasa anadaiwa na kampuni ya CCM ya Tanzania Green Limited, Dola za Marekani 50,000 ambazo zilitumika kulipia leseni kwenye Bodi ya Bahati Nasibu (Gaming Board of Tanzania) 3 Mei 2004.
Hadi Bodi ya Bahati Nasibu inaifuta leseni ya bahati nasibu hiyo iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni iliyoanzishwa na CCM ya Gaming Management (T) Limited, Manji hakuwa amelipa fedha hizo.
Manji anatajwa katika kunufaika isivyo halali na mabilioni ya shilingi za misaada kutoka serikali ya Japan za Commodity Import Support (CIS).
4. JEETU PATEL: Mmoja wa watuhumiwa wakuu wawili wa fedha za EPA ambaye amehusishwa na ukwapuaji wa zaidi ya Sh. 30 bilioni kupitia makampuni yake tisa tofauti.
Tayari amefikishwa mahakamani. Jeetu anatajwa katika kashfa nyingine kadhaa za fedha za nje kama ile ya OGL.
SUBHASH PATEL: Pamoja na tuhuma nyingine, Subhash ndiye aliingia mkataba tata na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kwa ajili ya kujenga na hatimaye kuendesha kitegauchumi hicho kinachodaiwa kuwa na thamani ya Sh. 12 bilioni.
Kwa mujibu wa mkataba huo, yeye kama mbia atamiliki asilimia 75 na kuachia wenye mali asilimia 25 tu. Mkataba huo ulisainiwa kwa baraka za aliyekuwa waziri mkuu, Edward Lowassa.
Baada ya mkataba huo kufichuliwa na MwanaHALISI, CCM iliushitukia na kuunda kamati ya kuupitia upya ingawa ni vigumu kuubadili kwa kuwa tayari mradi uliishaanza.
Subhash Patel anatajwa katika mradi wa mkaa wa mawe wa Mchuchuma na chuma wa Liganga, mkoani Mbeya ambako anatuhumiwa kutoa rushwa kwa baadhi ya wanasiasa, tuhuma ambazo zimefika ndani ya Bunge.
Ilielezwa ndani ya bunge kwamba Subhash alitoa rushwa ya mabati 500 na tani 29 za saruji pamoja na kusafirisha baadhi ya viongozi wa eneo la Mchuchuma hadi Dar es Salaam alikowalaza katika hoteli yake ya kitalii ili akabidhiwe eneo la ekari 1,400.
Mbunge mmoja alisema bungeni, Pamoja na hayo, wananchi wetu tuwaombe watuelewe kwamba tukipeleka bati 500 Mchuchuma, tumeuza nchi, ni sawa na kuuza ngombe kwa kesi ya kuku.
haya ndiyo madai ya RA dhidi ya mengi
Jumla ya fedha zote za NBC ambazo akidaiwa Mengi kupitia kampuni yake ya Anche Mwedu Limited (AML) hadi kufikia Januari 1996 zilikuwa ni 5,863,002,196.45. Fedha hizi hadi kufikia sasa 2009 pamoja na hesabu ya riba zinafikia takriban bilioni 28.
kwa wale wataalamu wa mahesabu kutoka bil 5 mpaka bil 28 ni riba ya kiasi gani
au ndio kama yale mambo ya mbowe kakopa mil 7.5 anadaiwa mil 229.
lakini kukopa sio dhambi pia kuna bankruptcy laws
RA ni Jangiri
Thanks Semilong, huyu Peter Noni ameamua kujifanya kuuza share but in reality bado shares ni zake under mirambo (who is this mirambo???), Hii ndiyo michezo ya mafisadi. Hela za EPA jamaa Noni alijichotea kama kawa, eti sasa hivi alitumika kama shahidi ku-confirm to the court kuwa anawafahamu wafanyakazi watuhumiwa wa EPA from the BOT kama waajiriwa. Ukweli ni kuwa alitakiwa naye ajiunge nao, ila basi kama alivyojisemea baba yangu Reginald Mengi, vidagaa ndivyo vimepelekwa mbele ya sheria na mapapa wanatanua ndani ya viyoyozi.
Peter Noni ana utajiri mkubwa sana wa investments and liquid money (liquid assets) ambavyo amevipata kwa njia za kifisadi!!!!
acha uwongo wewe....humjui peter noni.
Yaani hata usitake tuame topic na tuanze na huyu Noni... Ni mwizi wa kupindukia yeye kazi kubadilisha majina mali zake na kuweka majina ya wengine...
acha uwongo wewe....humjui peter noni.
huna cha kuandika kaa kimya!