Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Status
Not open for further replies.
tunayataka maelezo hayo

Maelezo: Hawana shughuli zamani si walikuwa wamekaa wanatuibia muda wa kuongea na waandishi wangepata wapi? deal za wizi hakuna nowadays JK anakaba hadi penati wanatapa tapa!
 
Haya ni mafua ya nguruwe! RM anatapatapa kama anavyofanya mwenzake! Na yeye angeenda Kempiski ingawa kulingana na Rostam hawezi kukanyaga pale kwani alinyimwa tenda ya kuinunua.
 
RA has lost Authority no doubt!!! ukiwa na hela bila authority matokeo ndio hayo Muulize Idd Simba he knows well nini maana ya kuwa na hela ukakosa authority ...

RA's days are numbered!

wataka maelezo zaidi?
Sikubaliani na maelezo yako kwani if he had lost authority he would not have easy access to Ikulu, which he openly enjoys and he would have been locked up by now!
 
Sikubaliani na maelezo yako kwani if he had lost authority he would not have easy access to Ikulu, which he openly enjoys and he would have been locked up by now!

the writing is on the wall refer to it later!!!
 
Mbona Mengi walishaonesha "jibu" lake jana ITV? Hakuwa na jipya.
Hii conference tuna uhakika ipo?
 
Maelezo: Hawana shughuli zamani si walikuwa wamekaa wanatuibia muda wa kuongea na waandishi wangepata wapi? deal za wizi hakuna nowadays JK anakaba hadi penati wanatapa tapa!

Hiyo credit hastaili. sema wananchi wameamuka wanakaba mpaka penati. JK anatuyeyusha tu hana lolote
 
Naomba kuiwakilisha JF ili niweze kuwapa LIVE .Niko njiani naenda town sasa nipeni mikoba .Nitasimama pale Haider Plaza kujua ukweli wa hizi nyeti.

Pamoja na Baraka zangu!!!
 
Wacha waumbuane tu mpaka kieleweke. Ila Mengi mbona ameharakisha sana? Atulie na kuweka facts zake vizuri kabla ya kuzimwaga kwa wananchi. Ukiwa na hasira kali huwezi kuweka mambo vizuri.

Sidhani kama Mengi alikurupuka kuwataja Mapapa bila ya kuwa na data. Kama leo ataongea itakuwa ni kuziweka data wazi ili kazi ibakie kwa JK na watendaji wake.

A good move in deed. Hakuna kusubiri joto la stori za RA likatua.
 
Mtanzania,

Unajua inafikia wakti nahisi kutokwa machozi kwa namna mambo yanavyoenda ndivyo sivyo!

Unajua iko hivi: Mengi anashauriwa na wana JF wenzetu na hata Rostam alichokiongea jana kaandikiwa na mwana JF mwenzetu. Tunaelekea wapi?

Pls mnaowashauri hivi, jaribu kuwaonea huruma, mnawachanganya kabisa, wanavyofanya sivyo (labda kama mmedhamiria kuwamaliza kabisa!)

Hapa kweli mkuu maana jamaa maelezo aliyo kuwa akiyasoma jana mengine yalikuwa yamelala kiJF nikawa najiuliza RA ni member humu...duh kuna watu huu ugomvi kwao ni dili watajenga vibanda vyao au kumalizia kabisa huko Goba.
 
Huna haja ya kutokwa na machozi, JF ina watu kibao, haiwezekani wote tukawa na nia, malengo, mtazamo mmoja. JF ni kama mkono, vidole havilingani. Waache wapambane, ndio wanatoleana siri zao jinsi wanavyohujumu taifa, nasi wananchi tunafaidika kwa mpambano huo kwa njia moja ama nyingine kwa ambayo tusiyoyajua.
 
Jamani kila siku tunalalamika tunajadili humu and nothing happens..sasa its happening mbona tunakuwa waoga..tunataka mwenendo mpya wa siasa tanzania...sasa ndo vita imeanza!! tutajua mengi sana by december this yr...
 
Huna haja ya kutokwa na machozi, JF ina watu kibao, haiwezekani wote tukawa na nia, malengo, mtazamo mmoja. JF ni kama mkono, vidole havilingani. Waache wapambane, ndio wanatoleana siri zao jinsi wanavyohujumu taifa, nasi wananchi tunafaidika kwa mpambano huo kwa njia moja ama nyingine kwa ambayo tusiyoyajua.

mwisho wa ubaya ni aibu!
Wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe na kujinyonga kwa kamba zao wenyewe.
 
Wadau taarifa nilizozipata sasa hivi ni kuwa Mengi tayari anamwaga razi,naambiwa ana documents zote za Kagoda!
 
Sasa nasubiri kuona papa na nyangumi wakipigana kwa maneno
 
Hapa kweli mkuu maana jamaa maelezo aliyo kuwa akiyasoma jana mengine yalikuwa yamelala kiJF nikawa najiuliza RA ni member humu...duh kuna watu huu ugomvi kwao ni dili watajenga vibanda vyao au kumalizia kabisa huko Goba.
Well said.
 
Natumai atakubali au kukanusha ile changamoto aliyopewa ya kwamba ana account nje.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom