Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
...Ila Mengi mbona ameharakisha sana? Atulie na kuweka facts zake vizuri kabla ya kuzimwaga kwa wananchi. Ukiwa na hasira kali huwezi kuweka mambo sawa...
Hii mipasho ndo suluhu ya kumaliza ufisadi Tanzania? Dola ipo kwa ajili ya nini?Mhakama zipo kwa ajili ya nini? Huu ndio msingi wa utawala bora kweli?
JK nchi yetu umewauzia wanyang'anyi.......we need our beloved land back...so please do something!
mwisho wa ubaya ni aibu!
Wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe na kujinyonga kwa kamba zao wenyewe.
Hii nchi imeshanyakuliwa na wenye nayo ndugu yanguWana JF
Mi naomba kuuliza TUNAENDA WAPI? Tz yetu haina vyombo vya Usalama? Huyi Kiranja wetu Mkuu Hizi habari ahazioni au kusikia..........usikute ananyimwa kuuangalia TV kwenye White House yake a.k.a IKULU............Mbona amekaa kimya tuu?
Tatizo ni kuwa kujua kwetu bila hatua kuchukuliwa haitatusaidia. Serikali ya JK ni washiriki wa ufisadi kitu kinachofanya sheria isiwe na ubavu. Sijui tukimbilie wapi sasa.Jamani kila siku tunalalamika tunajadili humu and nothing happens..sasa its happening mbona tunakuwa waoga..tunataka mwenendo mpya wa siasa tanzania...sasa ndo vita imeanza!! tutajua mengi sana by december this yr...
Nafahamishwa na mwandishi wetu kuwa wameambiwa atafanya Press Conference SI ofisini kwake bali Royal Palm (Movenpic) Hotel.
Wakuu Invisible/Lunyungu,
tafadhali Abraham aulizwe yafuatayo:
Wengine ongezeeni tafadhali au mboreshe haya yaliyopo...
Tumchukie au tumpende inabidi tukubali RA anajua kupanga hoja zake na ana-deliver 'killer blows'.Mengi achukue muda kujipanga na kujibu,hatutaki kusikia 'inasemekana' au 'inajulikana'.Atafute msaada wa watu ili aje na facts,figures,names and dates au ataenda na maji.
Wakuu Invisible/Lunyungu,
tafadhali Abraham aulizwe yafuatayo:
1. Baada ya kutoa tuhuma za mafisadi papa, ulichukua hatua gani zaidi?
2. Nini kilikusuma hasa kutoa zile tuhuma? Kwa nini hukuwataja wengine/tutajie waliobaki wale watano.
3. Taifa linagawanyika kwa malumbano yenu. Hatari iliyopo ni kuzuka kwa chuki kati ya makundi haya, ambazo hatuna hakika mwishowe utakuwaje, je huoni kama unahitajinjia mbadala ya kushughulikia tuhuma zako kuliko kupitia kwenye vyombo vya habari kila mara?
Wengine ongezeeni tafadhali au mboreshe haya yaliyopo...
majibuWakuu Invisible/Lunyungu,
tafadhali Abraham aulizwe yafuatayo:
1. Baada ya kutoa tuhuma za mafisadi papa, ulichukua hatua gani zaidi?
2. Nini kilikusuma hasa kutoa zile tuhuma? Kwa nini hukuwataja wengine/tutajie waliobaki wale watano.
3. Taifa linagawanyika kwa malumbano yenu. Hatari iliyopo ni kuzuka kwa chuki kati ya makundi haya, ambazo hatuna hakika mwishowe utakuwaje, je huoni kama unahitajinjia mbadala ya kushughulikia tuhuma zako kuliko kupitia kwenye vyombo vya habari kila mara?
Wengine ongezeeni tafadhali au mboreshe haya yaliyopo...
, sio anahisi, bali anajua wazi ndio maana anachokifanya sio kuwashitaki mafisadi kwa wananchi, bali kuwashitaki kwa wananchi, hawa wanaowakingia kifua mafisadi hata kama kwa kauli anadai anamsaidia mkulu, infact ndio anamzamisha.mzee Mengi anahisi serikali inwakingia kifua mafisadi na inawasaidia kuwakandamiza wanaopinga ufisadi. Mh!, tusubiri....
majibu4. Je ni kweli kuwa ana account ya nje ya nchi? Personally sidhani kama kuwa na account nje ya nchi ni tatizo, lakini Mengi ndo kalianzisha hili so aulizwe.
5. Kwa vile anamwambia Rostam aende mahakamani kujisafisha na tuhuma zake, Je na yeye(Mengi) ataenda lini mahakamani kujisafisha na tuhuma za Rostam?
Wakuu Invisible/Lunyungu,
tafadhali Abraham aulizwe yafuatayo:
3. Taifa linagawanyika kwa malumbano yenu. Hatari iliyopo ni kuzuka kwa chuki kati ya makundi haya, ambazo hatuna hakika mwishowe utakuwaje, je huoni kama unahitaji njia mbadala ya kushughulikia tuhuma zako kuliko kupitia kwenye vyombo vya habari kila mara?...
majibu
kukopa sio dhambi, na wala kampuni kufilisika sio dhambi
RA jana amethibitisha kwamba mengi hela zake ni mikopo benki na hii ndio njia kuu inayotumiwa na wafanyabiashara wote duniani
je source ya hela za RA ni hipi?
au huu ni utajiri wa Peter Noni?
je RA anauhusiano gani na Peter Noni?