Wanasheria wa Yanga wamewadanganya mashabiki wao kuwa kuna "miongozo ya kanuni"

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"

Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara.

Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria za mpira ambazo zimetolewa mwongozo kupitia kanuni zilizopo na ama za CAF ama FIFA.

Timu zinapotakiwa kufuata sheria,kanuni na miongozo, ni wazi wanaposema sheria ni sheria za mpira na zinajulikana.
Wakisema kanuni,ni kanuni zilizopo zinazoongoza ligi husika na wakisema na miongozo ni pale ambapo kanuni zetu ziko kimya kuhusu jambo fulani, ndipo tunaweza kuangalia kanuni za CAF ama FIFA katika jambo hilo.

Sasa mashabiki wa yanga wanaamini kuna kitabu kipo kinachoitwa eti " mwongozo wa kanuni za soka" Aseh "I wonder!"

Kumbe ni halali kuwa na failure nyingi sana Law school.

Fikiria mimi si mwanasheria,ila natumia akili ya kawaida tu naweza kuelewa mambo kama haya.
Kweli hii timu wenye akili ni wawili tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kwa iyo kwa akili yako ya kuazima kwa jirani ambayo unaona Iko sawa kuliko wengine tueleze kanuni ipi ya caf na fifa inasema timu ikizuiliwa na mabaunsa kufanya mazoezi ya mwisho mechi inaahirishwa?
Kanuni imewekwa na bodi ya ligi ifatwe na adhabu zake zipo kikanuni na sio hisani,,Simba alivunja Sheria kugomea mechi kinyume na matakwa ya Sheria za fifa,,yanga alivunja kanuni ya kumzuia Simba kufanya mazoezi ivyo alipaswa kuadhibiwa kikanuni, but Simba akuwa na nguvu yoyote kisheria ama kikanuni kugomea mechi!
 
Ngoja tusubiri maamuzi ya vikao vinavyoendelea, tarehe mpya ikiwekwa tuone nani atafika uwanjani na nani atakacha
 
Kwa iyo kwa akili yako ya kuazima kwa jirani ambayo unaona Iko sawa kuliko wengine tueleze kanuni ipi ya caf na fifa inasema timu ikizuiliwa na mabaunsa kufanya mazoezi ya mwisho mechi inaahirishwa?
Kanuni imewekwa na bodi ya ligi ifatwe na adhabu zake zipo kikanuni na sio hisani,,Simba alivunja Sheria kugomea mechi kinyume na matakwa ya Sheria za fifa,,yanga alivunja kanuni ya kumzuia Simba kufanya mazoezi ivyo alipaswa kuadhibiwa kikanuni, but Simba akuwa na nguvu yoyote kisheria ama kikanuni kugomea mechi!
Maneno meeengi, hoja sifuri. Kiufupi, tarehe mpya itatajwa na wewe usilete timu yako uwanjani. Itakuwa furaha yetu maana tuko bize na mashindano ya CAF msije mkatuumizia wachezaji wetu na wacheza kungfu wenu kina Bacca na Aucho.
 
Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"

Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara.

Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria za mpira ambazo zimetolewa mwongozo kupitia kanuni zilizopo na ama za CAF ama FIFA.

Timu zinapotakiwa kufuata sheria,kanuni na miongozo, ni wazi wanaposema sheria ni sheria za mpira na zinajulikana.
Wakisema kanuni,ni kanuni zilizopo zinazoongoza ligi husika na wakisema na miongozo ni pale ambapo kanuni zetu ziko kimya kuhusu jambo fulani, ndipo tunaweza kuangalia kanuni za CAF ama FIFA katika jambo hilo.

Sasa mashabiki wa yanga wanaamini kuna kitabu kipo kinachoitwa eti " mwongozo wa kanuni za soka" Aseh "I wonder!"

Kumbe ni halali kuwa na failure nyingi sana Law school.

Fikiria mimi si mwanasheria,ila natumia akili ya kawaida tu naweza kuelewa mambo kama haya.
Kweli hii timu wenye akili ni wawili tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wansheria wao wanawamislead sana wanayanga na ndiomana hawajawahi kushinda case yoyote zaidi ya kulipaga fines na fidia tu.
 
Huyo Hans wamuongezee posho hao wanaomtuma maana ameipambania sana uto. Ameng'angania miongozo miongozo, ukimwambia iko wapi hiyo miongozo anakwambia nenda TFF. Kwa hiyo yeye alienda huko TFF ndiyo wakampa hiyo miongozo?
 
Maneno meeengi, hoja sifuri. Kiufupi, tarehe mpya itatajwa na wewe usilete timu yako uwanjani. Itakuwa furaha yetu maana tuko bize na mashindano ya CAF msije mkatuumizia wachezaji wetu na wacheza kungfu wenu kina Bacca na Aucho.
Wewe leta hoja yako tuione,,Mimi na wewe nani hana hoja? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
 
Huyo Hans wamuongezee posho hao wanaomtuma maana ameipambania sana uto. Ameng'angania miongozo miongozo, ukimwambia iko wapi hiyo miongozo anakwambia nenda TFF. Kwa hiyo yeye alienda huko TFF ndiyo wakampa hiyo miongozo?
Kwani Hans anaongea kitu ambacho akipo? Mbona mnakuwa kama amnazo? Hans anaongelea kanuni za bodi ya ligi zilizopo na miongozo yake kakosea nini? Bodi si waliweka wao izo kanuni au ulitaka azungumze kinachokufurahisha wewe na mbumbumbu wenzako kina jemedari?
 
Hoja yangu ndo hiyo. Tarehe mpya itatajwa, usilete timu yako uwanjani.
Timu aitokuja kwakuwa uwezi kutangaza tarehe mpya na kesi ya awali ikiwa kwenye vyombo vya kisheria,,kwa maana iyo kwasasa akuna mechi yoyote itatangazwa mpaka kesi ya awali itapohitimishwa!
 
Kwani Hans anaongea kitu ambacho akipo? Mbona mnakuwa kama amnazo? Hans anaongelea kanuni za bodi ya ligi zilizopo na miongozo yake kakosea nini? Bodi si waliweka wao izo kanuni au ulitaka azungumze kinachokufurahisha wewe na mbumbumbu wenzako kina jemedari?
Hiyo miongozo iko wapi acheni bla bla nyie vyura. Watu wanapost kanuni za TFF na namba za hizo kanuni na tunaziona, na yeye apost hiyo miongozo ambayo anasema Simba imekiuka na namba za hiyo miongozo badala ya kutuambia eti twende tukaisome huko TFF.
 
Utangulizi wa kanuni za Ligi inasema "kanuni hizi za Ligi Kuu ndio mwongozo wa uendeshaji na uchezaji wa Ligi Kuu" Halafu anakuja kilaza mmoja anasema kuna miongozo, anaambiwa alete miongozo anadai ipo TFF.Nyie si mlidai mjibiwe kwa barua madai yenu, majibu ndio hayo sasa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250317-212912.png
    Screenshot_20250317-212912.png
    942.1 KB · Views: 43
Huyo Hans wamuongezee posho hao wanaomtuma maana ameipambania sana uto. Ameng'angania miongozo miongozo, ukimwambia iko wapi hiyo miongozo anakwambia nenda TFF. Kwa hiyo yeye alienda huko TFF ndiyo wakampa hiyo miongozo?
Dogo amepambania sana miongozo hadi na mimi nikakosa ujasiri wa kuwa kinyume na yeye kwa hofu kuwa akija na kitabu cha miongozo nitaumbuka. Kumbe hakuna document nyingine zaidi ya zile kanuni
 
Tangu wiki iliyopita dogo kakomaa na miongozo,leo kaambiwa aoneshe eti iko TFF
 
Back
Top Bottom