Waambie basi wakutangazie iyo tarehe wameshindwa nini kutangaza mpaka sasa?Eti kesi ya awali, hahah
Inasemaje?
Kanuni iyo akuna ata sababu mojawapo waliyotumia bodi kuahirisha mechi!Kanuni ya 34:1(3.1)
Unapangia watu jinsi ya kufanya kazi, we nani?Waambie basi wakutangazie iyo tarehe wameshindwa nini kutangaza mpaka sasa?
Mangungu anafuga wajinga wengi sana,,Unapangia watu jinsi ya kufanya kazi, we nani?
Masaa 72 yamepita, tunategemea mtoe barua zingine ka 4 hivi, tunazisubiri. Msisahau kuanza barua zenu na "Dear Karia....."
Wajinga ndo wamegomea mechi na hamna cha kuwafanya. Na mnasema mmeshatumia mil 50 za waganga na wote tunajua kiendacho kwa mganga hakirudi. Maweeee....Mangungu anafuga wajinga wengi sana,,
Miongozo aliyopewa yeye na GSM ndiyo anataka Simba iifuate. Ajabu sana.Dogo amepambania sana miongozo hadi na mimi nikakosa ujasiri wa kuwa kinyume na yeye kwa hofu kuwa akija na kitabu cha miongozo nitaumbuka. Kumbe hakuna document nyingine zaidi ya zile kanuni
Sahihisho dogo: Ni Kanuni 34:1(1.3).Kanuni ya 34:1(3.1)
Kuna case wapi?Timu aitokuja kwakuwa uwezi kutangaza tarehe mpya na kesi ya awali ikiwa kwenye vyombo vya kisheria,,kwa maana iyo kwasasa akuna mechi yoyote itatangazwa mpaka kesi ya awali itapohitimishwa!
je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANASahihisho dogo: Ni Kanuni 34:1(1.3).
je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANAWanasheria wa Yanga huwa ni makanjanja. Hata kwenye suala la Morrison walikuwa wababaishaji na hatimaye wakaangukia pua. Simba siyo ya mchezo mchezo
Na kwanini uzuie??? Huu upumbavu waliulea sana, simba walifanya vizuri ili ifike hatua mpira na upumbavu ujitengeKwa iyo kwa akili yako ya kuazima kwa jirani ambayo unaona Iko sawa kuliko wengine tueleze kanuni ipi ya caf na fifa inasema timu ikizuiliwa na mabaunsa kufanya mazoezi ya mwisho mechi inaahirishwa?
Kanuni imewekwa na bodi ya ligi ifatwe na adhabu zake zipo kikanuni na sio hisani,,Simba alivunja Sheria kugomea mechi kinyume na matakwa ya Sheria za fifa,,yanga alivunja kanuni ya kumzuia Simba kufanya mazoezi ivyo alipaswa kuadhibiwa kikanuni, but Simba akuwa na nguvu yoyote kisheria ama kikanuni kugomea mechi!
Wansheria wao wanawamislead sana wanayanga na ndiomana hawajawahi kushinda case yoyote zaidi ya kulipaga fines na fidia tu.
Hoja yangu ndo hiyo. Tarehe mpya itatajwa, usilete timu yako uwanjani.
Utangulizi wa kanuni za Ligi inasema "kanuni hizi za Ligi Kuu ndio mwongozo wa uendeshaji na uchezaji wa Ligi Kuu" Halafu anakuja kilaza mmoja anasema kuna miongozo, anaambiwa alete miongozo anadai ipo TFF.Nyie si mlidai mjibiwe kwa barua madai yenu, majibu ndio hayo sasa.
Kanuni ya 34:1(3.1)
je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANASahihisho dogo: Ni Kanuni 34:1(1.3).
Mlivyoambiwa Mpanzu ni Volcano mlidhani tunamaanisha nini? Mpanzu ndiyo wa kulaumiwa, ndiyo kasababisha derby iahirishwe.je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA
je, Kuna timu iliyokuwa inashiriki michuano ya kimataifa ndani ya siku 3-5? HAPANA
Je, kulikuwa na sababu ya dharura? Mfano Kifo cha mchezaji, kiongozi,Mwamuzi, uvamizi wa vikundi vya kigaidi kama M23? Mabomu? Tishio la kigaidi lililothibitishwa na mamlaka ya usalama ya nchi kwa barua rasmi? HAPANA
Je, kulikuwa na dharura zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kama mvua ya mafuriko, volcano, tetemeko kubwa,Tsunami, Barafu? HAPANA
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa? HAPANA
Mpaka hapo bado sijaona kipengele unachokizungumzia.
Kwa vile huna akili,unaamini Simba haikupeleka timu kwa sababu imezuiliwa na mabaunsa?Kwa iyo kwa akili yako ya kuazima kwa jirani ambayo unaona Iko sawa kuliko wengine tueleze kanuni ipi ya caf na fifa inasema timu ikizuiliwa na mabaunsa kufanya mazoezi ya mwisho mechi inaahirishwa?
Kanuni imewekwa na bodi ya ligi ifatwe na adhabu zake zipo kikanuni na sio hisani,,Simba alivunja Sheria kugomea mechi kinyume na matakwa ya Sheria za fifa,,yanga alivunja kanuni ya kumzuia Simba kufanya mazoezi ivyo alipaswa kuadhibiwa kikanuni, but Simba akuwa na nguvu yoyote kisheria ama kikanuni kugomea mechi!
Mabaunsa walitishia usalama wa wachezaji ushahidi upoje, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA
je, Kuna timu iliyokuwa inashiriki michuano ya kimataifa ndani ya siku 3-5? HAPANA
Je, kulikuwa na sababu ya dharura? Kifo cha mchezaji, kiongozi,Mwamuzi, uvamizi wa vikundi vya kigaidi kama M23? Mabomu? Tishio la kigaidi lililothibitishwa na mamlaka ya usalama ya nchi kwa barua rasmi? HAPANA
Je, kulikuwa na dharura zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kama mvua ya mafuriko, volcano, tetemeko kubwa,Tsunami, Barafu? HAPANA
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa? HAPANA
Mpaka hapo bado sijaona kipengele unachokizungumzia.
Kulikuwa na saabu ya msingi iliyokubaliwa na TFF?je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA