Kwa iyo kwa akili yako ya kuazima kwa jirani ambayo unaona Iko sawa kuliko wengine tueleze kanuni ipi ya caf na fifa inasema timu ikizuiliwa na mabaunsa kufanya mazoezi ya mwisho mechi inaahirishwa?Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"
Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara.
Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria za mpira ambazo zimetolewa mwongozo kupitia kanuni zilizopo na ama za CAF ama FIFA.
Timu zinapotakiwa kufuata sheria,kanuni na miongozo, ni wazi wanaposema sheria ni sheria za mpira na zinajulikana.
Wakisema kanuni,ni kanuni zilizopo zinazoongoza ligi husika na wakisema na miongozo ni pale ambapo kanuni zetu ziko kimya kuhusu jambo fulani, ndipo tunaweza kuangalia kanuni za CAF ama FIFA katika jambo hilo.
Sasa mashabiki wa yanga wanaamini kuna kitabu kipo kinachoitwa eti " mwongozo wa kanuni za soka" Aseh "I wonder!"
Kumbe ni halali kuwa na failure nyingi sana Law school.
Fikiria mimi si mwanasheria,ila natumia akili ya kawaida tu naweza kuelewa mambo kama haya.
Kweli hii timu wenye akili ni wawili tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Maneno meeengi, hoja sifuri. Kiufupi, tarehe mpya itatajwa na wewe usilete timu yako uwanjani. Itakuwa furaha yetu maana tuko bize na mashindano ya CAF msije mkatuumizia wachezaji wetu na wacheza kungfu wenu kina Bacca na Aucho.Kwa iyo kwa akili yako ya kuazima kwa jirani ambayo unaona Iko sawa kuliko wengine tueleze kanuni ipi ya caf na fifa inasema timu ikizuiliwa na mabaunsa kufanya mazoezi ya mwisho mechi inaahirishwa?
Kanuni imewekwa na bodi ya ligi ifatwe na adhabu zake zipo kikanuni na sio hisani,,Simba alivunja Sheria kugomea mechi kinyume na matakwa ya Sheria za fifa,,yanga alivunja kanuni ya kumzuia Simba kufanya mazoezi ivyo alipaswa kuadhibiwa kikanuni, but Simba akuwa na nguvu yoyote kisheria ama kikanuni kugomea mechi!
Wansheria wao wanawamislead sana wanayanga na ndiomana hawajawahi kushinda case yoyote zaidi ya kulipaga fines na fidia tu.Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"
Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara.
Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria za mpira ambazo zimetolewa mwongozo kupitia kanuni zilizopo na ama za CAF ama FIFA.
Timu zinapotakiwa kufuata sheria,kanuni na miongozo, ni wazi wanaposema sheria ni sheria za mpira na zinajulikana.
Wakisema kanuni,ni kanuni zilizopo zinazoongoza ligi husika na wakisema na miongozo ni pale ambapo kanuni zetu ziko kimya kuhusu jambo fulani, ndipo tunaweza kuangalia kanuni za CAF ama FIFA katika jambo hilo.
Sasa mashabiki wa yanga wanaamini kuna kitabu kipo kinachoitwa eti " mwongozo wa kanuni za soka" Aseh "I wonder!"
Kumbe ni halali kuwa na failure nyingi sana Law school.
Fikiria mimi si mwanasheria,ila natumia akili ya kawaida tu naweza kuelewa mambo kama haya.
Kweli hii timu wenye akili ni wawili tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wewe leta hoja yako tuione,,Mimi na wewe nani hana hoja? Mbumbumbu ni mbumbumbu tuManeno meeengi, hoja sifuri. Kiufupi, tarehe mpya itatajwa na wewe usilete timu yako uwanjani. Itakuwa furaha yetu maana tuko bize na mashindano ya CAF msije mkatuumizia wachezaji wetu na wacheza kungfu wenu kina Bacca na Aucho.
Hoja yangu ndo hiyo. Tarehe mpya itatajwa, usilete timu yako uwanjani.Wewe leta hoja yako tuione,,Mimi na wewe nani hana hoja? Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Kwani Hans anaongea kitu ambacho akipo? Mbona mnakuwa kama amnazo? Hans anaongelea kanuni za bodi ya ligi zilizopo na miongozo yake kakosea nini? Bodi si waliweka wao izo kanuni au ulitaka azungumze kinachokufurahisha wewe na mbumbumbu wenzako kina jemedari?Huyo Hans wamuongezee posho hao wanaomtuma maana ameipambania sana uto. Ameng'angania miongozo miongozo, ukimwambia iko wapi hiyo miongozo anakwambia nenda TFF. Kwa hiyo yeye alienda huko TFF ndiyo wakampa hiyo miongozo?
Timu aitokuja kwakuwa uwezi kutangaza tarehe mpya na kesi ya awali ikiwa kwenye vyombo vya kisheria,,kwa maana iyo kwasasa akuna mechi yoyote itatangazwa mpaka kesi ya awali itapohitimishwa!Hoja yangu ndo hiyo. Tarehe mpya itatajwa, usilete timu yako uwanjani.
Hiyo miongozo iko wapi acheni bla bla nyie vyura. Watu wanapost kanuni za TFF na namba za hizo kanuni na tunaziona, na yeye apost hiyo miongozo ambayo anasema Simba imekiuka na namba za hiyo miongozo badala ya kutuambia eti twende tukaisome huko TFF.Kwani Hans anaongea kitu ambacho akipo? Mbona mnakuwa kama amnazo? Hans anaongelea kanuni za bodi ya ligi zilizopo na miongozo yake kakosea nini? Bodi si waliweka wao izo kanuni au ulitaka azungumze kinachokufurahisha wewe na mbumbumbu wenzako kina jemedari?
Eti kesi ya awali, hahahTimu aitokuja kwakuwa uwezi kutangaza tarehe mpya na kesi ya awali ikiwa kwenye vyombo vya kisheria,,kwa maana iyo kwasasa akuna mechi yoyote itatangazwa mpaka kesi ya awali itapohitimishwa!
Dogo amepambania sana miongozo hadi na mimi nikakosa ujasiri wa kuwa kinyume na yeye kwa hofu kuwa akija na kitabu cha miongozo nitaumbuka. Kumbe hakuna document nyingine zaidi ya zile kanuniHuyo Hans wamuongezee posho hao wanaomtuma maana ameipambania sana uto. Ameng'angania miongozo miongozo, ukimwambia iko wapi hiyo miongozo anakwambia nenda TFF. Kwa hiyo yeye alienda huko TFF ndiyo wakampa hiyo miongozo?
Tangu wiki iliyopita dogo kakomaa na miongozo,leo kaambiwa aoneshe eti iko TFFDogo amepambania sana miongozo hadi na mimi nikakosa ujasiri wa kuwa kinyume na yeye kwa hofu kuwa akija na kitabu cha miongozo nitaumbuka. Kumbe hakuna document nyingine zaidi ya zile kanuni
Kanuni ya 34:1(3.1)Haya ebu tueleze ni kanuni gani iliyotumika kuahirisha mchezo
Inasemaje?Kanuni ya 34:1(3.1)