Wanasheria wa Yanga wamewadanganya mashabiki wao kuwa kuna "miongozo ya kanuni"

Waambie basi wakutangazie iyo tarehe wameshindwa nini kutangaza mpaka sasa?
Unapangia watu jinsi ya kufanya kazi, we nani?

Masaa 72 yamepita, tunategemea mtoe barua zingine ka 4 hivi, tunazisubiri. Msisahau kuanza barua zenu na "Dear Karia....."
 
Mangungu anafuga wajinga wengi sana,,
 
Dogo amepambania sana miongozo hadi na mimi nikakosa ujasiri wa kuwa kinyume na yeye kwa hofu kuwa akija na kitabu cha miongozo nitaumbuka. Kumbe hakuna document nyingine zaidi ya zile kanuni
Miongozo aliyopewa yeye na GSM ndiyo anataka Simba iifuate. Ajabu sana.
 
Wanasheria wa Yanga huwa ni makanjanja. Hata kwenye suala la Morrison walikuwa wababaishaji na hatimaye wakaangukia pua. Simba siyo ya mchezo mchezo
 
Timu aitokuja kwakuwa uwezi kutangaza tarehe mpya na kesi ya awali ikiwa kwenye vyombo vya kisheria,,kwa maana iyo kwasasa akuna mechi yoyote itatangazwa mpaka kesi ya awali itapohitimishwa!
Kuna case wapi?
 
Sahihisho dogo: Ni Kanuni 34:1(1.3).
je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA
je, Kuna timu iliyokuwa inashiriki michuano ya kimataifa ndani ya siku 3-5? HAPANA
Je, kulikuwa na sababu ya dharura? Kifo cha mchezaji, kiongozi,Mwamuzi, uvamizi wa vikundi vya kigaidi kama M23? Mabomu? Tishio la kigaidi lililothibitishwa na mamlaka ya usalama ya nchi kwa barua rasmi? HAPANA
Je, kulikuwa na dharura zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kama mvua ya mafuriko, volcano, tetemeko kubwa,Tsunami, Barafu? HAPANA
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa? HAPANA

Mpaka hapo bado sijaona kipengele unachokizungumzia.
 
Wanasheria wa Yanga huwa ni makanjanja. Hata kwenye suala la Morrison walikuwa wababaishaji na hatimaye wakaangukia pua. Simba siyo ya mchezo mchezo
je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA
je, Kuna timu iliyokuwa inashiriki michuano ya kimataifa ndani ya siku 3-5? HAPANA
Je, kulikuwa na sababu ya dharura? Kifo cha mchezaji, kiongozi,Mwamuzi, uvamizi wa vikundi vya kigaidi kama M23? Mabomu? Tishio la kigaidi lililothibitishwa na mamlaka ya usalama ya nchi kwa barua rasmi? HAPANA
Je, kulikuwa na dharura zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kama mvua ya mafuriko, volcano, tetemeko kubwa,Tsunami, Barafu? HAPANA
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa? HAPANA

Mpaka hapo bado sijaona kipengele unachokizungumzia.
 
Na kwanini uzuie??? Huu upumbavu waliulea sana, simba walifanya vizuri ili ifike hatua mpira na upumbavu ujitenge
 
Wansheria wao wanawamislead sana wanayanga na ndiomana hawajawahi kushinda case yoyote zaidi ya kulipaga fines na fidia tu.

Hoja yangu ndo hiyo. Tarehe mpya itatajwa, usilete timu yako uwanjani.

Kanuni ya 34:1(3.1)

Sahihisho dogo: Ni Kanuni 34:1(1.3).
je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA
je, Kuna timu iliyokuwa inashiriki michuano ya kimataifa ndani ya siku 3-5? HAPANA
Je, kulikuwa na sababu ya dharura? Mfano Kifo cha mchezaji, kiongozi,Mwamuzi, uvamizi wa vikundi vya kigaidi kama M23? Mabomu? Tishio la kigaidi lililothibitishwa na mamlaka ya usalama ya nchi kwa barua rasmi? HAPANA
Je, kulikuwa na dharura zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kama mvua ya mafuriko, volcano, tetemeko kubwa,Tsunami, Barafu? HAPANA
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa? HAPANA

Mpaka hapo bado sijaona kipengele unachokizungumzia.
 
Mlivyoambiwa Mpanzu ni Volcano mlidhani tunamaanisha nini? Mpanzu ndiyo wa kulaumiwa, ndiyo kasababisha derby iahirishwe.
 
Kwa vile huna akili,unaamini Simba haikupeleka timu kwa sababu imezuiliwa na mabaunsa?
Akili tu kichwani,Simba hawakupeleka timu kwa sababu mechi ilifutwa.

Kwa akili za kuvukia barabara,nikujulishe tu,kutishia kutopeleka timu,sio kosa kisheria

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mabaunsa walitishia usalama wa wachezaji ushahidi upo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kulikuwa na saabu ya msingi iliyokubaliwa na TFF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…