Mechi ilifutwa baada ya Simba kufanyaje? Mechi ndio ilitangulia kufutwa ama barua ya Simba ndio ilitangulia kugomea mechi? Tumia akili kwenye vitu vidogo usiwe amnazo!Kwa vile huna akili,unaamini Simba haikupeleka timu kwa sababu imezuiliwa na mabaunsa?
Akili tu kichwani,Simba hawakupeleka timu kwa sababu mechi ilifutwa.
Kwa akili za kuvukia barabara,nikujulishe tu,kutishia kutopeleka timu,sio kosa kisheria
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
TPLB / kamati ya saa 72 haina mamlaka ya kung'amua masuala ya kiusalama, kama mabaunsa walikuwa magaidi na walikuwa na mabomu taarifa ilipaswa kutolewa na vyombo vya ulinzi na usalama tena kwa barua, hiyo ni baada ya kupima uzito wa tishio lenyewe, mbona GB64 alipotishia kuleta vurugu endapo 5imba ingefungwa tena alidhibitiwa na mamlaka za usalama na derby ikachezwa?Mabaunsa walitishia usalama wa wachezaji ushahidi upo
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mpanzu ndiyo uchafu gani?Mlivyoambiwa Mpanzu ni Volcano mlidhani tunamaanisha nini? Mpanzu ndiyo wa kulaumiwa, ndiyo kasababisha derby iahirishwe.
ntoa mada mbn kama unawashwa hivi na una umbumbumbuHili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"
Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara.
Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria za mpira ambazo zimetolewa mwongozo kupitia kanuni zilizopo na ama za CAF ama FIFA.
Timu zinapotakiwa kufuata sheria,kanuni na miongozo, ni wazi wanaposema sheria ni sheria za mpira na zinajulikana.
Wakisema kanuni,ni kanuni zilizopo zinazoongoza ligi husika na wakisema na miongozo ni pale ambapo kanuni zetu ziko kimya kuhusu jambo fulani, ndipo tunaweza kuangalia kanuni za CAF ama FIFA katika jambo hilo.
Sasa mashabiki wa yanga wanaamini kuna kitabu kipo kinachoitwa eti " mwongozo wa kanuni za soka" Aseh "I wonder!"
Kumbe ni halali kuwa na failure nyingi sana Law school.
Fikiria mimi si mwanasheria,ila natumia akili ya kawaida tu naweza kuelewa mambo kama haya.
Kweli hii timu wenye akili ni wawili tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
inaonesha hujui hata namna hizi kanununi zinavyotumika,umeambiwa wametumia kanuni namba 34:1(1.3) lakini wewe hizo kanuni ulizorejea ni kanuni 34:1(1.1),34:1(1.2),34:1(1:4).Bodi wametumia na kunukuu specifically kanuni ya 34:1(1.3) Inayosema "Sababu ya dharura au/yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.Sasa wao waomeona tishio la usalama na tuhuma za rushwa ni sababu za msingi.Wamesema wazi sababu yoyote kati ya hizo lakini akili yako imeona sababu zoteje, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA
je, Kuna timu iliyokuwa inashiriki michuano ya kimataifa ndani ya siku 3-5? HAPANA
Je, kulikuwa na sababu ya dharura? Mfano Kifo cha mchezaji, kiongozi,Mwamuzi, uvamizi wa vikundi vya kigaidi kama M23? Mabomu? Tishio la kigaidi lililothibitishwa na mamlaka ya usalama ya nchi kwa barua rasmi? HAPANA
Je, kulikuwa na dharura zilizo nje ya uwezo wa kibinadamu kama mvua ya mafuriko, volcano, tetemeko kubwa,Tsunami, Barafu? HAPANA
Wachezaji walioitwa timu ya Taifa? HAPANA
Mpaka hapo bado sijaona kipengele unachokizungumzia.
Hujui kuwa ulinzi na Usalama wa mechi ni jukumu la polisi?Katika barua yao bodi wamesema wamepokea na kuitumia taarifa ya Afisa Usalama wa mechi.Hujui kuwa Afisa Usalama wa mechi ni Afisa wa jeshi la polisi? unataka polisi wa nchi gani washughulikie swala hili?TPLB / kamati ya saa 72 haina mamlaka ya kung'amua masuala ya kiusalama, kama mabaunsa walikuwa magaidi na walikuwa na mabomu taarifa ilipaswa kutolewa na vyombo vya ulinzi na usalama tena kwa barua, hiyo ni baada ya kupima uzito wa tishio lenyewe, mbona GB64 alipotishia kuleta vurugu endapo 5imba ingefungwa tena alidhibitiwa na mamlaka za usalama na derby ikachezwa?
Akili yako iko sawa kweli? Nimenukuu vipengele vyote ikiweml hicho ulichokitaja ili nikuthibitishie kwamba hakuna kanuni inayoruhusu mchezo kuahirishwa kiholela.Sababu ya dharura inayotajwa ni ipi? Kama ni sababu za kiusalama TPLB/Kamati ya saa 72 haina mamlaka, Vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo hutoa taarifa kwa barua maalum.Je, kulikuwa na dharura ya hali ya hewa? HAPANA dharura ya tishio la ugaidi? HAPANA dharura ya kifo cha mchezaji/kiongozi wa nchi? HAPANAinaonesha hujui hata namna hizi kanununi zinavyotumika,umeambiwa wametumia kanuni namba 34:1(1.3) lakini wewe hizo kanuni ulizorejea ni kanuni 34:1(1.1),34:1(1.2),34:1(1:4).Bodi wametumia na kunukuu specifically kanuni ya 34:1(1.3) Inayosema "Sababu ya dharura au/yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.Sasa wao waomeona tishio la usalama na tuhuma za rushwa ni sababu za msingi.Wamesema wazi sababu yoyote kati ya hizo lakini akili yako imeona sababu zote

Huju hata kusoma, kanuni imeeleza wazi ni sababu "yoyote" kati ya hizi.Unajua maana ya neno yoyote?au kwako neno yoyote lina maana "zote"?Akili yako iko sawa kweli? Nimenukuu vipengele vyote ikiweml hicho ulichokitaja ili nikuthibitishie kwamba hakuna kanuni inayoruhusu mchezo kuahirishwa kiholela.Sababu ya dharura inayotajwa ni ipi? Kama ni sababu za kiusalama TPLB/Kamati ya saa 72 haina mamlaka, Vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo hutoa taarifa kwa barua maalum.Je, kulikuwa na dharura ya hali ya hewa? HAPANA dharura ya tishio la ugaidi? HAPANA dharura ya kifo cha mchezaji/kiongozi wa nchi? HAPANA
dharura gani iliyotumika kwa mujibu wa kipengele unachotaja
Bila shaka ni kanuni 1:3 ambayo TFF wamesema kulikua na a lot of issues...Huju hata kusoma, kanuni imeeleza wazi ni sababu "yoyote" kati ya hizi.Unajua maana ya neno yoyote?au kwako neno yoyote lina maana "zote"?
Lakini hizo kanuni si lazima ziwepo na CAS na FIFA?? Au zinabakia kwenye ligi husikaHili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"
Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara.
Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria za mpira ambazo zimetolewa mwongozo kupitia kanuni zilizopo na ama za CAF ama FIFA.
Timu zinapotakiwa kufuata sheria,kanuni na miongozo, ni wazi wanaposema sheria ni sheria za mpira na zinajulikana.
Wakisema kanuni,ni kanuni zilizopo zinazoongoza ligi husika na wakisema na miongozo ni pale ambapo kanuni zetu ziko kimya kuhusu jambo fulani, ndipo tunaweza kuangalia kanuni za CAF ama FIFA katika jambo hilo.
Sasa mashabiki wa yanga wanaamini kuna kitabu kipo kinachoitwa eti " mwongozo wa kanuni za soka" Aseh "I wonder!"
Kumbe ni halali kuwa na failure nyingi sana Law school.
Fikiria mimi si mwanasheria,ila natumia akili ya kawaida tu naweza kuelewa mambo kama haya.
Kweli hii timu wenye akili ni wawili tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Pale Mwanza walizuiliwa na jeshi kabisa ila walicheza ila mechi na yanga ndo haijachezwa kisa baunsa aliyezuia watu kuingia mazoezi saa 2 usiku??Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"
Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara.
Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria za mpira ambazo zimetolewa mwongozo kupitia kanuni zilizopo na ama za CAF ama FIFA.
Timu zinapotakiwa kufuata sheria,kanuni na miongozo, ni wazi wanaposema sheria ni sheria za mpira na zinajulikana.
Wakisema kanuni,ni kanuni zilizopo zinazoongoza ligi husika na wakisema na miongozo ni pale ambapo kanuni zetu ziko kimya kuhusu jambo fulani, ndipo tunaweza kuangalia kanuni za CAF ama FIFA katika jambo hilo.
Sasa mashabiki wa yanga wanaamini kuna kitabu kipo kinachoitwa eti " mwongozo wa kanuni za soka" Aseh "I wonder!"
Kumbe ni halali kuwa na failure nyingi sana Law school.
Fikiria mimi si mwanasheria,ila natumia akili ya kawaida tu naweza kuelewa mambo kama haya.
Kweli hii timu wenye akili ni wawili tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Endelea kuingizwa chaka na ngonjera za zeruzeru manara.je, Timu ya taifa ilikuwa na mchezo? HAPANA
je, Kuna timu iliyokuwa inashiriki michuano ya kimataifa ndani ya siku 3-5? HAPANA
Je, kulikuwa na sababu ya dharura? Kifo cha mchezaji, kiongozi,Mwamuzi, uvamizi wa vikundi vya kigaidi kama M23? Mabomu? Tishio la kigaidi lililothibitishwa na mamlaka ya usalama ya nchi kwa barua rasmi? HAPANA