Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wanasheria wote wa Tanzania pamoja na waalimu wa sheria nchini pamoja na nchi jirani wameukataa mkataba wa Tanzania na DP World. Je, haiwezekani kwamba kazi hii ilifanywa na makampuni ya nje kuifanya kazi hii?
Kama wasomi wetu wameshindwa kupata tafsiri inayoitwa nia njema ya serikali naamini ni muda sasa wakuwafahamu waandishi na kuwapa nafasi ya kueleza maudhui ya mkataba kujua walilenga nini kwenye kila kipengele.
Kama walioandika wasipofahamika maana yake tafsiri sahihi haitapatikana. Watoke adharani waeleze wakati wanaandika walilenga nini?