Wanashughulika na mikutano ya siasa na Chadema. Sasa ni zaidi ya nusu saa nchi nzima haina umeme. Koteeee hakuna umeme

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme.

It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi!

Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura!
 
Attachments

  • IMG-20260627-WA0032.jpg
    IMG-20260627-WA0032.jpg
    81.8 KB · Views: 15
Kagera upo bwana si koteeee kama unavyosema. Kuna mikoa haipo kwa Grid
 
Huo umeme haukatiki sababu ni kutoka Owen falls Uganda. Ila umeme wa kuzalishwa na wabongo unakuwa na matatizo chungu nzima.

Huo ni mkoa haujui habari za mgawo, kukata hovyo au kukatika umeme bila taarifa.
 
Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme.

It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi!

Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura!
haina uhusiano gentleman :1Head:
 
Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme.

It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi!

Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura!
Yawezekana kuna magendo yanapitishwa maana zama za madili ya utawala wa kikwete zimerudi tenankwa kasi kubwa sana
 
Labda kuna dili linatembezwa, nchi ya wezi hii wakuu
Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme.

It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi!

Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura!
 
Leo jioni vyombo vya usalama vilikuwa na mikikimikiki mingi movement nyingi hasa seniors ghafla umeme ukakatika
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Maji umeme, madini, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA
 
Back
Top Bottom