Wasingeshughulika na chademaKote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme.
It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi!
Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura!
Kungekuwa na umeme?