M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jun 28, 2026 #21 Retired said: Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme. It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi! Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura! Click to expand... Wasingeshughulika na chadema Kungekuwa na umeme?
Retired said: Kote nilikopiga simu mikoani hakuna umeme. It seems ni tatizo la Taifa. Miaka 65 ya uhuru na CCM hatuna mbadala wa chanzo cha umeme mwingine in case chanzo kimoja kinafail kama hivi! Priority ni Chadema na mikutano ya siasa na kuiba kura! Click to expand... Wasingeshughulika na chadema Kungekuwa na umeme?
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Jun 28, 2026 #22 Hivi lile bwawa la umeme la nyerere limeishia wapi? mradi wa matrioni ya pesa..ah hii nchi haipo!
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Jun 28, 2026 #23 Hawa mapimbi ya kijani wapo kwenye hatua za mwisho kukata moto!