Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mama akomae. Atatoboa. Asijiingize kwenye hii michezo ya wana siasa wa bara. Wanafikiria madaraka na ukubwa tuHilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.
Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko pekee yake na ndio maana hata wasaidizi wake(wateule wake) hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai.
Wateule wake wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.
Silence means yes.
Mzee wa shamba la mizeituni anafikiria commission ya bandari ya Bagamoyo ambayo pia ni mkopo. Tena ile ndio tutauzwa mchana kweupeBwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Kodi tulizolipa kwa Magufuli?Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Hata wewe huwezi kumtetea tenaHilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.
Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko pekee yake na ndio maana hata wasaidizi wake(wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai. Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga Mama.
Wateule wake(hasa waliko serikalini) wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu, otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.
Silence means yes.
Yupo anapewa starehe na mke wakeHivi makamu yupo?
Hii ya magufuli kukopatrl29 ni uongo uliotungwa na team baibuiKodi tulizolipa kwa Magufuli?
Mkapa kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa tirion 20.
Kikwete kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa trion 23.
Magufuli kwa miaka yake 5 ya Urais alikopa trion 29.
Anayesema Magufuli hakukopa ni kuonewa huruma maana atakuwa anafanikisha ajenda zake binafsi.
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu wawapi magufuri amekufa kaacha deni kubwa la taifaBwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Walianza kuandika toka 2008, lkn ilipofika 2020 maandishi yao hayakuweza kushawishi watanzania kwa lolote. Angalau 2015 walipewa lift na CCM kwa kuazimwa mgombea mmoja ambae baadae alirudi alipotoka.Andikeni yote tu msisite
Hizi figure nani anazitoa? Sio kwamba tunapigwa kweli! Mikataba ipo wapi? Ni siri? Kama ni siri kwanini tulipe sisi na sio wasiri walioshiriki! Uhuni tu unaendelea…Kodi tulizolipa kwa Magufuli?
Mkapa kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa tirion 20.
Kikwete kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa trion 23.
Magufuli kwa miaka yake 5 ya Urais alikopa trion 29.
Anayesema Magufuli hakukopa ni kuonewa huruma maana atakuwa anafanikisha ajenda zake binafsi.
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Mbowe amekitoa mbali chama, anahaki ya kujilipa ruzuku..Walianza kuandika toka 2008, lkn ilipofika 2020 maandishi yao hayakuweza kushawishi watanzania kwa lolote. Angalau 2015 walipewa lift na CCM kwa kuazimwa mgombea mmoja ambae baadae alirudi alipotoka.
View attachment 2060519
View attachment 2060520
View attachment 2060521
View attachment 2060522
Kwani TOZO analipa NANIBwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Anatulipisha kodi tena za kigaidi kabisa(tozo) na bado anaenda kukopa,Kwa kweli CCM imetuchoka ila sijui kwanini Watanzania hawaichoki CCM.Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.
Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.