Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.

Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai.

Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga Mama.

Wateule wake(hasa waliko serikalini) wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu, otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.

Silence means yes.
 
Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.

Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko pekee yake na ndio maana hata wasaidizi wake(wateule wake) hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai.

Wateule wake wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.

Silence means yes.
Mama akomae. Atatoboa. Asijiingize kwenye hii michezo ya wana siasa wa bara. Wanafikiria madaraka na ukubwa tu
 
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.

Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Mzee wa shamba la mizeituni anafikiria commission ya bandari ya Bagamoyo ambayo pia ni mkopo. Tena ile ndio tutauzwa mchana kweupe
 
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.

Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.

Bro uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara, Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, kisha deni la taifa likapaa kwa 20t within 5yrs! Sasa tunalipa kodi, lakini anakopa offcamera!
 
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.

Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Kodi tulizolipa kwa Magufuli?

Mkapa kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa tirion 20.

Kikwete kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa trion 23.

Magufuli kwa miaka yake 5 ya Urais alikopa trion 29.

Anayesema Magufuli hakukopa ni kuonewa huruma maana atakuwa anafanikisha ajenda zake binafsi.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
 
Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.

Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko pekee yake na ndio maana hata wasaidizi wake(wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai. Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga Mama.

Wateule wake(hasa waliko serikalini) wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu, otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.

Silence means yes.
Hata wewe huwezi kumtetea tena
 
Kodi tulizolipa kwa Magufuli?

Mkapa kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa tirion 20.

Kikwete kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa trion 23.

Magufuli kwa miaka yake 5 ya Urais alikopa trion 29.

Anayesema Magufuli hakukopa ni kuonewa huruma maana atakuwa anafanikisha ajenda zake binafsi.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Hii ya magufuli kukopatrl29 ni uongo uliotungwa na team baibui
 
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.

Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Wewe ni mpumbavu wawapi magufuri amekufa kaacha deni kubwa la taifa
 
Andikeni yote tu msisite
Walianza kuandika toka 2008, lkn ilipofika 2020 maandishi yao hayakuweza kushawishi watanzania kwa lolote. Angalau 2015 walipewa lift na CCM kwa kuazimwa mgombea mmoja ambae baadae alirudi alipotoka.

images (14).jpeg

images (13).jpeg

2502081_Screenshot_20200828-192616.jpg

images (6).jpeg
 
Kodi tulizolipa kwa Magufuli?

Mkapa kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa tirion 20.

Kikwete kwa miaka yake 10 ya Urais alikopa trion 23.

Magufuli kwa miaka yake 5 ya Urais alikopa trion 29.

Anayesema Magufuli hakukopa ni kuonewa huruma maana atakuwa anafanikisha ajenda zake binafsi.

Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Hizi figure nani anazitoa? Sio kwamba tunapigwa kweli! Mikataba ipo wapi? Ni siri? Kama ni siri kwanini tulipe sisi na sio wasiri walioshiriki! Uhuni tu unaendelea…
 
Bwana Job anasema ipo siku Bongo itapigwa mnada, Mama anasema lazima akope.

Magufuli alitubana tulipe kodi akaonekana mbaya, Mama hataki tulipe lodi twende tukakope anaonekana mbaya.
Anatulipisha kodi tena za kigaidi kabisa(tozo) na bado anaenda kukopa,Kwa kweli CCM imetuchoka ila sijui kwanini Watanzania hawaichoki CCM.
 
Back
Top Bottom