wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
Hata yeye wakati Hayati JPM anachoma vifalanga vya kuku alikaa kimya mpaka JPM alivyofariki ndiyo akalaumu. Hivyo wana CCM wenzake wamekaa kimya mpaka akiacha uraisi kwa namna yoyote ndiyo watasema.Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.
Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki hadharani kupambana na kina Polepole na sasa Ndugai.
Hawajitokezi kumtetea, wala kuwapinga wanaompinga Mama.
Wateule wake(hasa waliko serikalini) wanakaa kimya kulinda vibarua vyao tu, otherwise wangeungana na kundi la kina Polepole. Uchaguzi ukikaribia, wanaweza kuonyesha rangi zao halisi.
Silence means yes.