situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Kama siyo kuchekesha basi mnasikitisha, kama wote mnalalamika nani ana wajibu wa kutatua?
Wapinzani wanalalamikia kupanda kwa gharama za Maisha watawala wanalalamikia hilo hilo nani ana wajibu wa kulitatua?
Nawaelewa wapinzani juu ya hilo Ila siwaelewi wabunge Wa CCM juu ya hilo.
Nilipata bahati ya kuwasikiliza wabunge Wa CCM Josephat Gwajima na Musukuma katika viwanja vya Furahisha hotuba zao zote zilihusu gharama za Maisha.
Nilidhani kwa kuwa ni chama tawala watakuja na majibu matokeo yake nao wanalalamika kama wapinzani.
Hata wanatuuliza mchele unaolimwa Mwanza una uhusiano gani na vita vya Ukraine.
Hivi kama nyie mnao kaa bungeni. Mlio kwenye kamati za Bunge mnaotunga sheria. Mnaokaa na wabunge vyombo vyote na mamlaka zote ni zenu mnalalamika nani ana majibu?