Wanasiasa mafisadi hudanganya wananchin kwa chakula na peremende. 2025 wapigwe chini.

Wanasiasa mafisadi hudanganya wananchin kwa chakula na peremende. 2025 wapigwe chini.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Msikubali kudanganyila kwa misosi na jojo za kutafuna.
20220426_131335.jpg
20220426_131331.jpg
20220426_131327.jpg
20220426_131327.jpg
 

Mtoto aliyedaiwa kufa kwa njaa afukuliwa, azikwa​



MONDAY APRIL 25 2022​

mtotopiic

Summary

  • Mtoto Salah Jackson (5) aliyezikwa na mama yake kimyakimya usiku baada ya kudaiwa kufa njaa, leo amezikwa rasmi katika kijiji cha Makiwaru wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro.

ADVERTISEMENT

janet josephpic

By Janeth Joseph
More by this Author

Siha. Mtoto Salah Jackson (5) aliyezikwa na mama yake kimyakimya usiku baada ya kudaiwa kufa njaa, leo amezikwa rasmi katika kijiji cha Makiwaru wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro.

Mtoto huyo alifariki dunia Aprili 21 na kisha mama yake aitwaye Rebecca Siowi (30) kumzika kimya kimya katika nyumba ya mama yake baada ya mume wake kumtelekeza akiwa na watoto watano.

Kutokana na tukio hilo la mama kumzika mwanaye mwenyewe usiku wa manane liliwaibua Jeshi la polisi mkoani hapa ambapo mwili wa mtoto huyo ulifukuliwa Aprili 22, kwa ajili ya kwenda kuufanyia uchunguzi wa kina kujua uhalali wa kifo cha mtoto huyo.

Hata hivyo, alipotafutwa Kamanda wa polisi Mkoani hapa, Simon Maigwa alisema baada ya kuufukua mwili wa mtoto huyo ulipelekwa hospitali kwa ajili ya kuufanyia uchunguzi ambapo mtoto huyo alibainika kuwa alikufa kwa njaa kwa mujibu wa majibu ya madaktari.
Wananchi wapo hoi hawana kitu
 
Back
Top Bottom