Pre GE2025 Wanasiasa mnanyanyasa watoto kwa kuwamezesha uchawa na propaganda zenu. Watetezi wa haki za watoto mko wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wanachekelea uchawa lakini ni jambo la kupinga kabisa. Ukishakuwa chawa akili inadumaa na uwezo wa kujenga hoja nakufanya reasoning unapungua. Kama wanaanza kuingiza watoto kwenye uchawa tutakuwa na taifa la vijana tegemezi miaka ijayo.
 
Yooooo... Mkuu dishi lishayumba maskini...kunywa maji upumzike kidogo... hatutaki kukupoteza Mkuu, bado tunakuhitaji.
 
Yooooo... Mkuu dishi lishayumba maskini...kunywa maji upumzike kidogo... hatutaki kukupoteza Mkuu, bado tunakuhitaji.
Yes,
Taifa na waTanzania wananihitaji kusema ukweli na kurekebisha aina zote za upotoshaji jukwaani.

vijana lazma wapate makuzi mema ya kiadilifu katika uongozi.

na kuelekezwa namna ya kisayansi kujiepusha na matapeli na vibaka wa kisiasa nchini 🐒
 
Huu ni ujinga kwa kweli halafu utasikia mwanasiasa anawaambia Watanzania waendelee kukariri Quran, Yaani mtu mzima na akili timamu unawaambia wananchi wako waendelee kuwa wajinga....mbona watoto wenu hamuwaambii wakariri hiyo Quran, si mnajuwa ni ujinga mtupu? Jiulizeni, mtoto anakariri Quran inamsaidia nini maishani kama si kufuga majini tu na kuwa mnafiki kwa wenzake? We need to be serious here.
 
Nashauri serikali ikamate mwanasiasa yeyote anayeshauri watoto kukariri Quaran au Biblia na kuwafanya wajinga. hatutaki taifa la kijinga, tunataka watu waliosoma na wanaojitambua akili ili nchi ipige hatua.
 
Yaaaniii uchawa full house....
 
Kwa jinsi mada imewashika huna vha kusema hapo unakimbia kurukia jambo jingine🤣🤣🤣
 
Kwa jinsi mada imewashika huna vha kusema hapo unakimbia kurukia jambo jingine🤣🤣🤣
siwezi kukimbia upotoshaji my lady,

nitakuwepo kila mahali kudhibiti upotoshaji dhidi ya mambo mbalimbali yasiyo na tija ambayo mnajaribu kuyatumia kuhadaa wadau na wananchi.

kama kiongozi wa wananchi nitaendelea kusema Ukweli dhidi ya upotoshaji wowote humu jukwaani bila mbambamba yoyote 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…