Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza.
Mbali na kuwaweka watoto kwenye chipukizi sasa watoto wanaaza kukaririshwa uchachawa na kupenyeza ajenda za wanasiasa, hii siyo sawa.
Leo Tanga watoto wamepata nafasi ya kuigiza mbele ya Rais na Wananchi lakini maigizo yamejaa uchawa na ajenda za mitano tena, mama anaweza. Ni jambo moja watoto kufanya maigizo ya kuelimisha na kuburudisha hadhara, na ni jambo lingine watoto kumezeshwa uchawa na ajenda za kundi fulani kwa maslahi yao binafsi.
Nimefurahi hasa jinsi binti huyu alivyokuwa na confidence kwenye kuongea mbele za watu na kupresent kwa ujumla, lakini kumtumia kwenye masuala ya siasa na uchaguzi kueneza agenda zenu za mitano tena, mama anafaa na mama aupiga mwingi si sawa mnakosea sana.
Na Rais kukaa hapo ukifurahia presentation hiyo ni kosa jingine umeongeza kwenye hilo. Yaani hapo wewe umetoa go ahead kwa watoto kuendelea kutumika vibaya kupaza sauti kwenye ajenda na propaganda za kisiasa na uchaguzi. Mnawaexploit watoto kwa manufaa yenu binafsi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mzazi uliyepitisha hili (kama alitoa ruhusa), walimu, CCM na Rais Mwenyewe mnaexpose mtoto (watoto) kufanya jambo ambalo litakuja kuathiri na maisha yake mbeleni. Mnaanza kuingiza uchawa kwa watoto toka wakiwa wadogo kabisa, kuja kukuza generation ya vijana inayofikiria bila kumjua kiongozi fulani huwezi kufanikiwa, bila kulamba miguu ya fulani huwezi kusogea mbele, wazazi wengine naao watatamni watoto wao waje kuwa kama binti huyo ili wao wakalie kiti cha Rais na kupata connection!
Watetezi wa haki za watoto mpo? Au ni mpaka mtoto akipigwa tu ndio mpata nguvu za kupaza sauti? Huu nao ni unyanyasaji kama unyanyaji mwingine unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.
Najua wazee wa exposha mtakuja, mara mtoto anaspread her wing upuuzi! Wangeweza kuendelezwa kwa namna nyingine sio hii ya kuwawakarisha ajenda zenu za uchaguzi, maana kutengeneza madaraja watoto wakiwa wadogo kabisa.