Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Week hii aliuawa dada mmoja huko Kibaha, Week hii hii tena kuna dada kauawa huko Musoma. Ukirudi nyuma weeks mbili ago kuna mtu aliuawa na mwingine alipatikana baada ya kupotea kwa muda fulani.
Kuna watu kadhaa wamepotea na kuuawa lakini sisikii Waziri, Naibu , Wabunge wala wapinzani wakikemea jambo hili. Mmekuwa busy kiasi hiki? au hawa wanaouawa si binadamu?
Wanasiasa wengi ni wanafiki sana. Huwa hawana ukweli siku zote. Kweli ya jana siyo kweli ya leo. Huwa hawana marafiki wala maadui wa kudumu. Wana maslahi tu ya kudumu.