Majiji na Miji mingi kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikijenga masoko mazuri ya ghorofa kama masuper market yenye thamani kubwa. Machinga/Mjasiria Mali ana tabia za maisha ya bata. Tania hizi zimefanya vizimba kukosa wateja.
Je, tunatatua tatizo kujenga masoko ya maghorofa au tunaongeza tatizo lakutokidhi mahitaji ya walengwa?
Je, tunatatua tatizo kujenga masoko ya maghorofa au tunaongeza tatizo lakutokidhi mahitaji ya walengwa?