Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna wakati kichwa chako kinafanya kazi vizuriNi ukweli usiopingika kuwa wanasiasa wanawatumia viongozi wa dini zote kwa maslahi yao, na viongozi wa dini wameshaionja asali ya ubadhirifu, wao sasa wamekuwa mstari wa mbele kuitumia fursa.
Wamekutana wanafik na wanafik wenzao.
Zamani viongozi wa dini walitumika kuhamasisha jamii zao bila malipo wala sadaka za kutokea serikalini, leo kiongozi wa dini analipwa "per diem" tena bahasha nene kila anapoalikwa kwenye mikutano ya kisiasa, kuna dini hapo au unafik tu?