Kuna wakati kichwa chako kinafanya kazi vizuriNi ukweli usiopingika kuwa wanasiasa wanawatumia viongozi wa dini zote kwa maslahi yao, na viongozi wa dini wameshaionja asali ya ubadhirifu, wao sasa wamekuwa mstari wa mbele kuitumia fursa.
Wamekutana wanafik na wanafik wenzao.
Zamani viongozi wa dini walitumika kuhamasisha jamii zao bila malipo wala sadaka za kutokea serikalini, leo kiongozi wa dini analipwa "per diem" tena bahasha nene kila anapoalikwa kwenye mikutano ya kisiasa, kuna dini hapo au unafik tu?
Jitazame chako kwanza. Kinaonyesha hakifanyi kazi kabisa.Kuna wakati kichwa chako kinafanya kazi vizuri
Kuna yule kiboko ya wachawiTapeli aliyeshika chati kwa sasa ni Mwamposa
1) MwamposaTapeli aliyeshika chati kwa sasa ni Mwamposa
Shikamoo Faiza Fox huu ni ushindi kwa mara ya kwanza uneniunga mkonoNi ukweli usiopingika kuwa wanasiasa wanawatumia viongozi wa dini zote kwa maslahi yao, na viongozi wa dini wameshaionja asali ya ubadhirifu, wao sasa wamekuwa mstari wa mbele kuitumia fursa.
Wamekutana wanafik na wanafik wenzao.
Zamani viongozi wa dini walitumika kuhamasisha jamii zao bila malipo wala sadaka za kutokea serikalini, leo kiongozi wa dini analipwa "per diem" tena bahasha nene kila anapoalikwa kwenye mikutano ya kisiasa, kuna dini hapo au unafik tu?
Ni changamoto sana lo
Kwa udini wewe ajuza hujamboUislam umekuja kumweka mtu huru, hizo unazoongelea za ukondoo siyo mafundisho ya Kiislam.
Uislam unatufundisha kuwa kila mmoja wetu anapaswa awe "Khalifa" na kila mmoja wetu anapaswa awe ni mchungaji wa mwenzake. Hakuna kondoo.
Tuamrishane mema na tukatazane maovu na mabaya.
Kama "udini " unamaanisha Uislam, hapo hujakosea.Kwa udini wewe ajuza hujambo
Sahivi naona umekuwa hongeraKama "udini " unamaanisha Uislam, hapo hujakosea.
Binafsi nimesema kuwa Waislam tunatakiwa tuwe mfano wa kuigwa, siyo kama hao mapoyoyo wanaojindeshea hivyo vituo kinyume na utaratibu.
Wanaweka hivyo vituo kwa malengo ya kuombea misaada. Usikute hao wana zamu za kwenda kuomba omba sadaka mitaani.
Naungana na mkuu wa wilaya, wafynguliwe mashtaka hao wasimamizi ili iwe fundisho kwa wengine.
Uislam hauruhusu kuvunja sheria na kanuni za nchi.
Ulikuwa unanisoma kwa uoga tu, wewe ndiyo kuna bolti zimefunguka kichwani kwako na sasa umeanza kunisoma kwa uelewa.Sahivi naona umekuwa hongera