Wanasiasa nawaonya kwa mara ya kwanza. Hili Taifa ni mali ya watanzania na si mali yenu

Sawa....
Ngj upate channel lzm upige
Binafsi mm nikipata nafasi nawasha tu
Maslahi yangu kwanza mengine badaye
Sema nacheza kwa step

Ova
Mkuu utakuwa unacheza conspiracy mbaya sana, ni sawa na kupanga kudondosha ndege unayoendesha mwenyewe.....tatizo mtu mwenye ufinyu wa mawazo anatazama usawa wa pua yake, ukijenga misingi bora hata kizazi chako cha nne watafaidi kuliko kupanga kufanya maangamizi kwa maslahi binafsi, matokeo yake wewe na kizazi chako chote kinaangamia.....
 
Mkuu mbona hawafikii hata 200.
Ndo haya makundi tunayosikia, sukuma gang, msoga gang, chato gang, etc.......angalau yangekuwa ni makundi ya ku-advance falsafa au agenda za nchi badala ya kuishia kwenye upigaji...
 
Sio wanasiasa sema CCM ndio wnaaona nchi ya kwao peke yao.
 

Nilidhani mambo hayo yameondoka na mwendazake. Si mlisema kwamba ndiye anayeharibu nchi?
 
Tuongeze ubunifu na uzalendo, na wanasema vijana wa siku hizi ni wavivu hawajitumi wajiajiri nchi ina fursa nyingi🤣
😂😂wasitushauri, tukiona ni muhimu tutafanya wenyewe. wakati yeye hataki kuachia nafasi yake
 
Wapuuzi nyie mnalalamikia ajira kwa vijana alafu watu wakipanga miradi mikubwa ya kutengeneza ajira Kwa mamilioni kama Bandari ya Bagamoyo na mtu akihangaika kufungua milango ya Tanzania ili wawekezaji wake na watengeneze ajira mnapinga na kusema nchi inauzwa.

Hamna akili nyie mmekaa na wivu , chuki, husda na mawazo ya kimasikini na kijamaa tu!
 
Mkuu endelea kuwadharau hao vijana unaowaita wapuuzi. Uliwahi kuona maandamano ya kupinga bandari ya Bagamoyo? uliwahi kuoneshwa mkataba wake?
 
Mkuu endelea kuwadharau hao vijana unaowaita wapuuzi. Uliwahi kuona maandamano ya kupinga bandari ya Bagamoyo? uliwahi kuoneshwa mkataba wake?
Nyie endeleeni na tantalila sijui mkataba, we ulivyokuwa unapinga mkataba uliuona?
 
Una ushahidi kuwa niliupinga? mkuu naomba uwe muelewa hapa tunazungumzia mambo ya mhimu sana.
 
Unafiki na chuki vimewajaa ,wakati wa Magu yalikuwa yanasifia na kutetea kila kitu,sasa mirija imekatwa ni mwendo wa kulia na mikwara
 
Unafiki na chuki vimewajaa ,wakati wa Magu yalikuwa yanasifia na kutetea kila kitu,sasa mirija imekatwa ni mwendo wa kulia na mikwara
Wanasahau kuwa kila masika na mbu wake.
Enzi zao ndiyo zishapita hata wakilia na kusaga meno hakuna tena wa kuwadekeza.
 
Kwahio unampiga biti mtu mwenye mrija wa pesa😜
 
Kweli kabisa
 
Mwafrika ni Ibilisi aliyestaarabika.
Sisi tulio jirani na GPSA ndio tunaona ma V8 ynavyoshushwa kila leo huku mnaambiwa uchumi umeyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…