Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mfano Wanasiasa wa Tanzania wanaongoza kumtaja mungu na kumuhusisha katika harakati zao za kisiasa ila ni waongo, wadhulumaji wa haki, wala rushwa na mafisadi kuliko.
Fikiria watu wanajua kabisa wameingia madarakani kwa kupitia uporaji uchaguzi, kuumiza na kuua wengine ila kauli ya kwanza wakipewa nafasi wanaanza "kwanza kabisa namshukuru mnyazi mungu mwingi wa rehema blah blah..."