Tena wanashika vitabu vya dini na kuapa Kwa kutumia Imani zao za Dini halafu wanaiba Wana iba wanaua wanatenda Kila aina ya unyama na mungu ana waangalia tu , Ndio maana tuna waambiaga kwamba dini ni utapeli mkubwa sana kuwahi kutokea Wana siasa wote wanalijua Hilo ndio maana hata hawajishughulishi Kwa kumtafuta mungu huyo ukimuona mwanasiasa kanisani au msikitini ni kwaajili ya ku- take millage ya kisiasa nothing else