PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Petro de luanda unaichukulia poa?Timu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika
Baada ya kuona hvyo wanasiasa wakaanza kujitokeza ili kutafuta umaarufu wa kisiasa wenyewe sijui mnaita political mailage
Kama mjuavyo wanasiasa wa tanzania na nuksi zao mzee kikwete kaenda bas toka hapo timu yetu n vipondo tu na inaonesha itatepeta sana hii timu. Wawe makini na hawa viongoz wa kisiasa
Imepigwa na al ahly bengaZ ya libya na Jana Petro de luanda ya Angola
Dooh! Kwa hiyo wanarudi zao home? Kichwa juu? Au chiniTimu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika
Baada ya kuona hvyo wanasiasa wakaanza kujitokeza ili kutafuta umaarufu wa kisiasa wenyewe sijui mnaita political mailage
Kama mjuavyo wanasiasa wa tanzania na nuksi zao mzee kikwete kaenda bas toka hapo timu yetu n vipondo tu na inaonesha itatepeta sana hii timu. Wawe makini na hawa viongoz wa kisiasa
Imepigwa na al ahly bengaZ ya libya na Jana Petro de luanda ya Angola
Ukweli mtupukwamba mtoa mada wanasiasa wakiisusa taifa stars , world cup hili apa 😁
Nilivyoona ule ushindi wa kwanza babutale wanajisnap na mtoto wa samia wannu huku akisema ushindi ule ni wa samia..Timu ilianza kwa kas ikishinda mechi mbili mfululizo kwa kuwabonda wakenya na wasouth afrika