Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kabisa, watu wanakufa kwa kukosa dawa au fedha ndogo tu kama 100,000 wakati wanasiasa wanaendesha magari ya 250M!Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid 19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?
Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa pesa za hawa maskini ambao wameachwa wafe kama panya.
Shetani kazi yake ni kuua na kuharibu. Siku zote. Na ndicho ambacho tuna ona kwa watu maskini. Wao wanaachwa wafe. Watoto wao nao wanakosa matibabu. Ila wanasiasa hawa wanapata matibabu kwa pesa za maskini hawa ambazo wananyonywa.
Mnapewa misaada kupitia watanzania kisha mnagawana pesa na kuwaacha watanzania wafe. Wanasiasa wa hivi ni mashetani kabisa.
Paza paza paza sauti zaidi ili usikike mkuu, why Botswana 🇧🇼 wana almost zero corruption sisi tusiweze?,yaani idara za kutoa haki hapa nchini ndizo zinaongoza kwa rushwa, mahakama, afya,home affairs hasa immigrations na police why why why
Kwa comment yangu hapo nakuwaje gaidi?Wacheni Ugaidi. Mlaaniwe na Mkome na Kulegea.
Mtakuja kuumia au kuumiza watu. STOP your Nonsense.
Yaani ugaidi wanaofanya wanafanya wanasiasa ni mkubwa ukilinganisha na huo unaoweza wewe wakujifunga mabomu na kuua watu wawili stand. Ndiyo hayo mwizi wa kuku tunapiga mawe, harafu hii mijizi inayokwamisha miradi tunaisifia☹️☹️☹️Wacheni Ugaidi.
Dah! Nashindwa ata jinsi ya kukoment ila kama tumeumbwa na Mungu natukawekwa katika hii inchi Ili sote tuifaidi ila wachache tuliowapa dhamna ya ungozi badala yetu Ili wawe wanaorganise mambo alfu ndo wanatuumiza namna hii tulio wengi INAUMA SANA ZAIDIUnajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?
Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa pesa za hawa maskini ambao wameachwa wafe kama panya.
Shetani kazi yake ni kuua na kuharibu. Siku zote. Na ndicho ambacho tuna ona kwa watu maskini. Wao wanaachwa wafe. Watoto wao nao wanakosa matibabu. Ila wanasiasa hawa wanapata matibabu kwa pesa za maskini hawa ambazo wananyonywa.
Mnapewa misaada kupitia Watanzania kisha mnagawana pesa na kuwaacha Watanzania wafe.
Umechanganya mambo ila ultimately upo ukweli.Maskini ni mdanganyika.Yeye anatumika kwa kisingizio cha kumletea maendeleo,lakini si kweli.Yeye kiuhalisia anatumika kama chambo tu cha kuchukulia mikopo, kwa hiyo realistically anatumika kuiibia nchi rasilimali zake bila yeye kujua.Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?
Wanaacha watoto wadogo wanakufa kwa kukosa matibabu na bima inasitishwa kwa madai kuwa michango haitoshi. Lakini hawa wanasiasa wananunuliana magari ya kifahari sana kwa pesa za hawa maskini ambao wameachwa wafe kama panya.
Shetani kazi yake ni kuua na kuharibu. Siku zote. Na ndicho ambacho tuna ona kwa watu maskini. Wao wanaachwa wafe. Watoto wao nao wanakosa matibabu. Ila wanasiasa hawa wanapata matibabu kwa pesa za maskini hawa ambazo wananyonywa.
Mnapewa misaada kupitia Watanzania kisha mnagawana pesa na kuwaacha Watanzania wafe.
Sina Tatizo na maudhui yako. Nina tatizo na Bandiko kuu Yani mada haijengi na inavutia Ugaidi na mashambulizi dhidi ya Mwafrika badala ya kuleta suluhishi. Ssa kwanini msiwakamate na mkwaoiga kama wezi wa Kuku basi. Nini kinachokuzuia? Manake hukuweka Suluhisho lolote like zaidi ya kutukana Jamii yako! How are you going to reconcile yourself, knowing you can could have used other solutions to build around the problem instead of, rather, using a Wrecking ball to tear down the fabric of your existence.Yaani ugaidi wanaofanya wanafanya wanasiasa ni mkubwa ukilinganisha na huo unaoweza wewe wakujifunga mabomu na kuua watu wawili stand. Ndiyo hayo mwizi wa kuku tunapiga mawe, harafu hii mijizi inayokwamisha miradi tunaisifia☹️☹️☹️
Wao ndo waache ugaidiWacheni Ugaidi.
Umeandika vizuri mkuu. Umejenga hoja vema. Keep it up.Unajiuliza waliwezaje kupokea pesa za Covid-19 na kudai wanazipeleka kwenye kujenga madarasa mengine wanaweka na tiles na ac?