Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha.
Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti yanayoambatana na hicho cha ziada.
Wapo wanadamu kwao wao haki ni halali yao na siyo halali ya wengine, wapo wanadamu ambao kwao haki ni ya wote.
Kisiasa chama cha mapinduzi kimechagua kuishi bila amani laini kiwe na madaraka man yake wanachama wake ni watumwa wa madaraka kiafya, kiakili na kimaisha. Chadema kimsingi wamechagua kutoyakimbilia madaraka lakini wabaki Huru kiafya, kiakili na kimaisha.
Walipolazimishwa wafikiri kama wana CCM walikataa na Sasa matunda yakukataa kwao kufikiri kama wa CCM wanayaona. Wote wanaofikiri kama CCM inavyotaka wanakimbiwa na wananchi na madaraka yanakuwa machungu.
Niwaombe chadema wazidi kujipa raha kwa kuondoa tamaa ya madaraka yasiyo na haki. Waondoe kuishi kama CCM, waamue kuishi kama chadema na matunda yake hata yasipoonekana kwenye siqsa yataonekana kwenye jamiii. Misimamo ya wana chadema inazalisha watu wengi sana wanaowaza sawasawa na watu hao ndio tunategemea wakashiriki mapinduzi yakimfumo ndani ya nchi yetu.
Kuongezeka kwa wanachadema ni kuongezeka Kwa watu wanaojiamini, wanaosema kweli na wasiosaliti wananchi Kwa madaraka au vipande vya fedha.
Chadema chagueni kuendelea kuishi Kwa furaha ya kudumu kuliko furaha ya muda waliyochagua akina Polepole (Sasa hivi amegeuka katoon), Kigwangala anayezunguka na upepo, Nape anayeamini yeye ndiye CCM, Chongolo anayeamini kwamba wanasiasa wa upinzani niwakufunga TU, Ndugai asiyetambua dhamana aliyonayo nk.