johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa.
Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua 95% ni watoto wa wakulima, wafugaji, wawindaji na wafanyabiashara ambao spirit zao ziko zaidi kwenye kusaka fursa na siasa ni kama ngazi tu ya kufikia malengo yao.
Niwatakie nyote Heri ya Mwaka Mpya 2020
Maendeleo hayana vyama!