johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM ni wajamaa?Chadema wana akili nyingi ni matajiri na wafanyabiashara tofauti na ccm masikini wakulima, wajamaa
tukiendeleza hizi itikadi mbili huko mbeleni siasa zetu zitanoga, tutakuwa kama amerika, rebublicans vs demokrats
Membe BC!Nitajie mtoto mmoja wa muwindaji
Sijalinganisha nimetoa mfano!.......nikasema na wengine wengi na wewe bwashee ukiwemo!Uwe una linganisha city/watu wanao/vinavyofanana hao wanasiasa wa Kenya uliwataja wameshika nafasi za uraisi,makamu was rais, na mawaziri wakuu.
Huku wanasiasa wa Tanzania ulio tumia kama mlinganisho vyeo vyao vya mwisho in uwaziri.
Huyo Lazaro kafanya nini?Nina uhakika zaidi ya 95% ya wanasiasa wa bongo hawana uwezo wa kufanya lolote nje ya ajira ya siasa waliyonayo...
Vilaza wa kutupwa. ....
Kwa hili pekee namuheshimu sana Nyalandu Lazaro. ..
Nchi ambayo INA discourage growth of private sector ni ya kijamaa tuCCM ni wajamaa?
Kuna Tanzania na kuna Chadema! Anayekukuna vizuri ma...lio utamuwewesekea kila wakati.Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa.
Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua 95% ni watoto wa wakulima, wafugaji, wawindaji na wafanyabiashara ambao spirit zao ziko zaidi kwenye kusaka fursa na siasa ni kama ngazi tu ya kufikia malengo yao.
Niwatakie nyote Heri ya Mwaka Mpya 2020
Maendeleo hayana vyama!
Naskia hata jiwe baba yake alikua mpigania uhuru wa chatoNilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa.
Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua 95% ni watoto wa wakulima, wafugaji, wawindaji na wafanyabiashara ambao spirit zao ziko zaidi kwenye kusaka fursa na siasa ni kama ngazi tu ya kufikia malengo yao.
Niwatakie nyote Heri ya Mwaka Mpya 2020
Maendeleo hayana vyama!
Nyoosha sentensi manka au ndio umevaa ile jamii ya pampas!!!Kuna Tanzania na kuna Chadema! Anayekukuna vizuri ma...lio utamuwewesekea kila wakati.
Sasa ba...ha kumtengea jamuhuri yake ndani ya jamuhuri tukueleweje! Ndiyo mahaba yamekuchanganya?
Wewe mpaka Chadema kuwatengea jamuhuri ndani ya jamuhuri wamekukuna sehemu ipi ya mwili wako kama si ma....lio. Unalinganisha Kenya, Tanzania na Chadema! Wewe si bure! Si ridhiki.Nyoosha sentensi manka au ndio umevaa ile jamii ya pampas!!!
Muulize mama elvischirwa matembele anayachumaje akiwa na Yohana!Wewe mpaka Chadema kuwatengea jamuhuri ndani ya jamuhuri wamekukuna sehemu ipi ya mwili wako kama si ma....lio. Unalinganisha Kenya, Tanzania na Chadema! Wewe si bure! Si ridhiki.