Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

Tanzania hatukupigania uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya watoto wa wakubwa wamegeuka kuwa maadui wa mfumo uliowalea.

Jukwaa lao ni twitter.
 
Uwe una linganisha city/watu wanao/vinavyofanana hao wanasiasa wa Kenya uliwataja wameshika nafasi za uraisi,makamu was rais, na mawaziri wakuu.

Huku wanasiasa wa Tanzania ulio tumia kama mlinganisho vyeo vyao vya mwisho in uwaziri.
Twende sawa:

Tuanze na Benjamin Mkapa background yake na familia yake (uzuri na kwenye kitabu chake amesema)

Tuje kwa ndugu Kikwete tupete political background ya familia yake

Halafu tumalize na muheshimiwa aliyeko madarakani sasa

Nadhani hao ndo uliowalenga! Ukimaliza hao ndo uje kwa wagombea wengine kama kina Lipumba, Cheyo, Mbowe, Slaa, Hashim na wengine unaowafahamu.

Wana relate na wapigania Uhuru? Je, ni asilimia ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…