MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tutaanza sasa Kuwahisi kuwa huenda hamtaki / hampendi Kukaa Tanzania mliko na Wajibu nako na mnataka kuwa Angani 24/7 kwani Tanzania inanuka na Watanzania tunanuka vile vile.
Na hata pia Kiafya Mwanasiasa Kusafiri kila mara (tena kwa Ndege) ndani na nje ya Tanzania siyo vyema sana na ni Hatari pia Kwake.
au kama Wanasiasa wa Tanzania Kipindi hiki mnapenda sana Kusafiri sehemu mbalimbali labda kwenda Kujitibia / Kujitibu si vibaya pia tukajulishwa kama ambavyo tumejulishwa kuhusu Kuugua kwa Mwanasiasa Profesa Jay.
Naomba kama kuna Mwanasiasa yoyote atasafiri Wiki hii au muda wowote ule kutoka sasa akirejea Tanzania anibebee tu hata Chupa Moja ya Whiskey zinazotengenezwa nchini Ufaransa au Ubelgiji au zile zilizoko katika Maduka makubwa nchini UAE (Dubai)