Wanasiasa wa Tanzania na Wananchi wao wote Matapeli tu. Huu ushahidi

Wanasiasa wa Tanzania na Wananchi wao wote Matapeli tu. Huu ushahidi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Miezi kadhaa Ago Ndugu Gwajima alikuwa Shujaa sana wa Chadema kwa kuongea kwake pumba na maneno ya hovyo hovyo.sisi wenye akili hatukuwa tunakubaliana naye. Hata ile Video ya Mkono wa Baunsa CCM waliisimamia kuwa ni yeye na Chadema wakasema si yeye ni Mkono wa Baunsa.

Leo imekuwa kinyume. CCM wanasema ile video kweli wamegundua si ya Gwajima ni ya Mkono wa Baunsa hivyo Gwajima anafaa Kawe.

Chadema leo nao wamegundua ile video ni ya Gwajima si ya Mkono wa Baunsa.na hivyo Gwajima hafai.

Siasa ya Tanzania Wagombea mbweha apiga kura mbweha. Watu hawaeleweki wanataka nini kiuhalisia. Ni unafiki tu.
 
Hasa Chadema hawanaga misimamo. Lisaa limoja mbele wanabadilika lisaa linalofata wanarudi tena walipotoka.
 
Kuna kitu hujakielewa...permanent interests not permanent friends/ opinions/ vision
 
Gwajima kwa vyovyote hafai kabisa ana lugha chafu na ni mtu hovyo kigeugeu nashangaa anagombea ubunge! Hafai kabisa!
 
Mnaohangaika na siasa za Tanzania mna kazi sana wenye akili zetu tunafanya mambo mengine Tanzania huwezi kutofautisha kipi Chama Tawala kipi cha Upinzani
 
Watz ni zaidi ya mataahira nipate zali kutawala nchi kama hiyo nitatawala Milele
 
Back
Top Bottom