Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Yakikukuta uendelee kusema ni drama. Pumbavu KabisaHuku ni kwetu ni drama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakikukuta uendelee kusema ni drama. Pumbavu KabisaHuku ni kwetu ni drama!
Nimepigiwa simu kutoka Maputo jana Asubuhi kuhusu jambo hili, huu waweza kuwa mwisho wa FrelimoKutoka nchini Msumbiji inaelezwa kuwa watu waliokuwa na bunduki wamempiga risasi na kumuua mwanasiasa wa upinzani nchini humo Elvino Dias
Taarifa iliyotolewa na chama chake cha PODEMOS imeeleza kuwa Elvino Dias, wakili wake na mshauri wa mgombea wa nafasi ya Rais kwa tiketi ya chama cha upinzani Venancio Mondlane, na msemaji wa chama hicho wote wameuawa katika mashambulizi ya risasi yaliyofanywa, ambapo inaelezwa kuwa watu hao (waliotekeleza mauaji hayo) walikuwa wanatumia usafiri wa magari mawili (2)
Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa shirika la habari la kimataifa la Sauti ya Amerika (VOA) imeeleza kuwa mauaji hayo yametokea katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo usiku wa Oktoba 18.2024 ambapo inaelezwa kuwa waliouwa waikiwa wakijitayarisha kuwasilisha kesi Mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu
Kwa mujibu wa vyama vya upinzani nchini humo ni kwamba uchaguzi huo umekumbwa na madai ya wizi wa kura na unyanyasaji wa wanasiasa wa upinzani.View attachment 3130552
Oooh chaupele.........Nimepigiwa simu kutoka Maputo jana Asubuhi kuhusu jambo hili, huu waweza kuwa mwisho wa Frelimo
Hata hivyo huko kuna magaidi wengi, hata Tanzania magaidi wengine wamejificha rufiji, wa naweza kufanya tukio kama hiliKutoka nchini Msumbiji inaelezwa kuwa watu waliokuwa na bunduki wamempiga risasi na kumuua mwanasiasa wa upinzani nchini humo Elvino Dias
Taarifa iliyotolewa na chama chake cha PODEMOS imeeleza kuwa Elvino Dias, wakili wake na mshauri wa mgombea wa nafasi ya Rais kwa tiketi ya chama cha upinzani Venancio Mondlane, na msemaji wa chama hicho wote wameuawa katika mashambulizi ya risasi yaliyofanywa, ambapo inaelezwa kuwa watu hao (waliotekeleza mauaji hayo) walikuwa wanatumia usafiri wa magari mawili (2)
Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa shirika la habari la kimataifa la Sauti ya Amerika (VOA) imeeleza kuwa mauaji hayo yametokea katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo usiku wa Oktoba 18.2024 ambapo inaelezwa kuwa waliouwa waikiwa wakijitayarisha kuwasilisha kesi Mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu
Kwa mujibu wa vyama vya upinzani nchini humo ni kwamba uchaguzi huo umekumbwa na madai ya wizi wa kura na unyanyasaji wa wanasiasa wa upinzani.View attachment 3130552
Wakati fulani mtu unaweza kufikiri kuzaliwa katika Bara la Afrika ni mikosi na nuksi tu.
Watakuwa wamepata somo toka Tanzania wamejifunza namna nzuri ya kuua wapinzani.
Souls sellers
Wapo tayari kuua
Kutesa
Kunyanyasa
Kutweza utu MTU
Kisa madaraka.
Mungu akawajaze hekima Sana ili wakapate kuzihesabu siku zao Kama wanavyozihesabu siku za wenzao.
Hali ni tete kila mahali ni utekaji na mauaji. Mungu atusaidie kuamua kesi. Kwa ilipofikia haki ni ngumu kupatikana.
Kiko hoi vibaya mno
Africa tungebakia kutawaliwa na wakoloni tu kuliko hivi tunavyouana wenyewe kwa tamaa za madaraka!
AFRIKA BDO SANA.HV VYAMA VYA UKOMBOZI UCHWARA KM CCM FRELIMO ANC KM HAWAJATOLEWA KM KANU KUNA MSOTO SANA WA UKIUKAJI WA HAKI
"Let us agree that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."Tanzania
brekingnews k/mwenezi wa BAWACHA ngazi ya taifa Aisha Machano, ametekwa na kupigwa vibaya Kibiti. Watekaji walikuwa wakimhoji kwanini wanawake hao wa CHADEMA walichoma vitenge vyenye sura ya Rais @SuluhuSamia. Kiongozi huyo ameokotwa na bodaboda yuko ICU hospital hali yake mbayaView attachment 3130556
Namuamini Mungu lakini sio utashi wa mitandaoni!Yakikukuta uendelee kusema ni drama. Pumbavu Kabisa
MUNGU Gani unayemwamini Huku unashadadia mauwaji ya wengine? MUNGU akusameheNamuamini Mungu lakini sio utashi wa mitandaoni!
Hata hivyo huko kuna magaidi wengi, hata Tanzania magaidi wengine wamejificha rufiji, wa naweza kufanya tukio kama hili
Msumbiji ni kama Tanzania.Watakuwa wamepata somo toka Tanzania wamejifunza namna nzuri ya kuua wapinzani.
MImi sio mtu wa kuburuzwa na upuuzi!MUNGU Gani unayemwamini Huku unashadadia mauwaji ya wengine? MUNGU akusamehe
Andika kwa kutumia akili.Hata hivyo huko kuna magaidi wengi, hata Tanzania magaidi wengine wamejificha rufiji, wa naweza kufanya tukio kama hili
Kwani hao wakoloni hawauani huko kwao acha haya mawazo ya kitotoAfrica tungebakia kutawaliwa na wakoloni tu kuliko hivi tunavyouana wenyewe kwa tamaa za madaraka!
Endelea kudharauNamuamini Mungu lakini sio utashi wa mitandaoni!
Africa democrasia bado sanaaKutoka nchini Msumbiji inaelezwa kuwa watu waliokuwa na bunduki wamempiga risasi na kumuua mwanasiasa wa upinzani nchini humo Elvino Dias
Taarifa iliyotolewa na chama chake cha PODEMOS imeeleza kuwa Elvino Dias, wakili wake na mshauri wa mgombea wa nafasi ya Rais kwa tiketi ya chama cha upinzani Venancio Mondlane, na msemaji wa chama hicho wote wameuawa katika mashambulizi ya risasi yaliyofanywa, ambapo inaelezwa kuwa watu hao (waliotekeleza mauaji hayo) walikuwa wanatumia usafiri wa magari mawili (2)
Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa shirika la habari la kimataifa la Sauti ya Amerika (VOA) imeeleza kuwa mauaji hayo yametokea katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo usiku wa Oktoba 18.2024 ambapo inaelezwa kuwa waliouwa waikiwa wakijitayarisha kuwasilisha kesi Mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi huu
Kwa mujibu wa vyama vya upinzani nchini humo ni kwamba uchaguzi huo umekumbwa na madai ya wizi wa kura na unyanyasaji wa wanasiasa wa upinzani.View attachment 3130552
Ambaye pia walimuuaBila shaka atakuwa ni nduguye na Eduardo Mondlane
RIP
Nyie majitu majinga majinga huwa mnanufaika na nini ?? Hizo buku saba ndo inawafanya msiwe huru kutumia akili??MImi sio mtu wa kuburuzwa na upuuzi!
Huyu mjinga anafuatia kumuignore humu jf hana hoja kabisaSisi sio wapuuzi kiasi Hicho chiembe.. Msidhani haya hayana mwisho