Wanasiasa wa upinzani wauawa kwa kupigwa risasi Msumbiji baada ya uchaguzi wenye utata

Nimepigiwa simu kutoka Maputo jana Asubuhi kuhusu jambo hili, huu waweza kuwa mwisho wa Frelimo
 
Hata hivyo huko kuna magaidi wengi, hata Tanzania magaidi wengine wamejificha rufiji, wa naweza kufanya tukio kama hili
 
Wakati fulani mtu unaweza kufikiri kuzaliwa katika Bara la Afrika ni mikosi na nuksi tu.
Watakuwa wamepata somo toka Tanzania wamejifunza namna nzuri ya kuua wapinzani.
Souls sellers

Wapo tayari kuua
Kutesa
Kunyanyasa
Kutweza utu MTU

Kisa madaraka.

Mungu akawajaze hekima Sana ili wakapate kuzihesabu siku zao Kama wanavyozihesabu siku za wenzao.
Hali ni tete kila mahali ni utekaji na mauaji. Mungu atusaidie kuamua kesi. Kwa ilipofikia haki ni ngumu kupatikana.
Kiko hoi vibaya mno
Africa tungebakia kutawaliwa na wakoloni tu kuliko hivi tunavyouana wenyewe kwa tamaa za madaraka!
AFRIKA BDO SANA.HV VYAMA VYA UKOMBOZI UCHWARA KM CCM FRELIMO ANC KM HAWAJATOLEWA KM KANU KUNA MSOTO SANA WA UKIUKAJI WA HAKI
"Let us agree that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Hata hivyo huko kuna magaidi wengi, hata Tanzania magaidi wengine wamejificha rufiji, wa naweza kufanya tukio kama hili
Andika kwa kutumia akili.
Kwanini hao magaidi wawawinde watu wa upinzani pekee. CCM msidhani mtaendelea kuwa salama kwa mbinu zenu hizi, damu ya mtu haiendi bure.
 
Africa tungebakia kutawaliwa na wakoloni tu kuliko hivi tunavyouana wenyewe kwa tamaa za madaraka!
Kwani hao wakoloni hawauani huko kwao acha haya mawazo ya kitoto
 
Africa democrasia bado sanaa
 
Bila shaka atakuwa ni nduguye na Eduardo Mondlane
RIP
Ambaye pia walimuua

Eduardo Mondlane aliuawa kwa bomu la kifurushi huko Dar es Salaam tarehe 3 Februari 1969, katika mazingira ambayo hayajawahi kuelezwa kabisa. Dhana ni kwamba aliuawa na PIDE/DGS ya Ureno, lakini ilitokea wakati ambapo vuguvugu hilo lilikuwa bado limegawanyika - licha ya kufanyika kwa mafanikio kwa Bunge la II huko Niassa mnamo Julai 1968 - kati ya watetezi wa mapinduzi ya kijamii, na wale ambao alipinga wazo hilo. Kifo chake kilizua mzozo wa kiuongozi katika FRELIMO ambao ulitatuliwa kwa ufanisi tu na kudhaniwa kwa urais na Samora Machel mnamo Aprili 1970.
 
Africa bado inaawamu ya pili ya kurudi utumwani wa kikoloni,kwani bado sana kujitambua au walao kujituma.
 
Africa bado inaawamu ya pili ya kurudi utumwani wa kikoloni,kwani bado sana kujitambua au walao kujituma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…