Wanasiasa wa upinzani wauawa kwa kupigwa risasi Msumbiji baada ya uchaguzi wenye utata

Takwimu Zimeishapikwa tayari, Swali la Kujiuliza, hii idadi huyu Wazir wa CCM (Mkwe wa Raisi) ameitoa wapi!?.

Wakati Bado Zoezi la uandikishwaji Lilikua linaendelea Waziri huyu alitoa idadi ya Watu waliojiandikisha!. Pia zoezi hili halifanyiki kielektronik, Wamejumlisha Saa ngap
 
Afrika imevamiwa na wakoloni weusi
 
Africa ni hopeless kabsa kufikia hapo tunajua ni nani kuhusika kama ilivyo kua Bongo .intelligences zetu bado kabsa ata kwenye kufanya sabotage sishangai wali zuia gari la ...... lenye bullet proof lisilo sajiriwe tz
 
Pasi na shaka muuaji ni utawala wanaotaka kupora ushindi wa wapinzani!
Msumbiji imeharibiwa sana na utawala huu kiasi kwamba inakwenda kuwa 'Zimbabwe' nyingine
 
Tafsiri ya lugha umekosea,kwenye lugha ya kingereza inaonesha wakili WA modelane ndo pekee kauawa siyo wote kama ulivyoandika.....Africa Bado Sana hivi vyama uchawara vya ukombozi ni ushamba mtupu.
spokesperson
 
1.Unamteka mtoto wa kike kwa mtutu wa bunduki

2.Kundi la wanaume saba wakatili mnakubali kwenda kumteka, kumdalilisha, kumnyanyasa na kutweza utu wa mwanamke kwa ujira wa fedha?

3.Mnafunga kitambaa usoni mwanamke kisha mnamtoa nyumbani kwake Kibiti mnamsafirisha hadi mapori ya Kisarawe kwenda kumnyanyasa na kumfanyia ukatili

4.Mnajitambulisha kuwa ni maafisa wa chombo cha dola kisha mnatumia gari la kodi za wananchi, pingu na bunduki zilizonunuliwa kwa kodi zetu.

5.Mnachana nguo za mwanamke aliyefunzwa kujistiri kwa dini yake safi ya kiislamu tangu utotoni na kumuacha utupu.

6.Mwanamke mmoja anashirikiana na wanaume saba kumshambulia na kumdhalilisha mwanamke mwenzake kwa ujira wa pesa tu

7.Mmemaliza kumfanyia ukatili Mwanamke mnamtekeleza maporini mnaondoka na kujiona wajanja... mnajiona mmeyapatia maisha kweli.

8.Nawakumbusha yupo Mungu juu anayeona kila kitu muda wote na sehemu zote. Ipo siku kabla hamjazikwa na kufukiwa na udongo huu mnaotumia kumwaga damu, mtakumbushwa kila tukio moja mlilotenda.

9.Nawaonea huruma ninyi watekaji na wauaji, kwa kuwa najua hamjui watu makatili kama ninyi mwisho wenu unakuwaga vipi.

10.Lakini niwahakikishie akili za upinzani na harakati hazizimwi kwa mtutu wa bunduki na kufuli la Jela tulifikiri mmejifunza kwa Hayati Magufuli

Hamtoweza kuua watu wote,wapo watakaobaki nyuma yetu,wao watatulipia visasi vyetu.hilo mnatakiwa kulielewa siku zote.

Hakunaga Jambo linafanywa na watu zaidi ya wawili likabakia kuwa siri.
Credit: Boni yai Twitter X
 
Vurugu na maandamano vimeripotiwa kwa wanaopinga mchakato wa Uchaguzi huo ulivyoendeshwa huku Polisi wakidaiwa kutumia nguvu iliyopitiliza ikiwemo risasi za moto na kusababisha Vifo vya makada wawili wa Upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…