Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo wote¡
Katika moja ya andiko moja lililopatikana katika falsafa za kitibeli lililosema:
"Mfalme huamini kuwa anaitawala dunia. Lakini mara nyingi dunia hutawaliwa na watu ambao mfalme hawajui hata majina yao."
Historia imejaa mifano ya watu waliovaa taji huku wakidhani wao ndio wenye mamlaka.
Lakini nyuma ya viti vyao kulikuwepo watu waliomiliki fedha.
Na Nyuma ya fedha kulikuwepo waliomiliki taarifa.
Na nyuma ya taarifa kulikuwepo wale waliomiliki hofu.
Kwa sababu hofu ndiyo sarafu ya mwisho ya mamlaka.
Mtu anayemiliki hofu za wengine huweza kuwafanya wafanye mambo ambayo hata nafsi zao hazikubaliani nayo.
Moja ya aya zilizobora katika Kitabu cha Watibeli katika Siasa na Utawala.
Vukani haacha!
Mtibeli katika Moja na Mbili