Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,490
- 38,302
Wana siasa uchwara walinyamaza kipindi mauaji na utekaji ukipamba moto.
Walinyamaza kwakuwa waliotekwa hawakuwa ndugu zao,hawakuwa na sababu ya kuwasemea pengine waliona waliotekwa au kupoteza maisha ni vikaragosi tu.
Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Waliokufa hawakuwa na thamani,hawakuwa na maana hata kidogo.
Gwajima kasema wapumbavu,wajinga,wapuuzi wote wanabwabwaja.
Ngongo kwasasa Dodoma (Mkutano Mkuu) Seat 💺 ya mbele.