Viongozi wa dini ujumbe huu uwafikie..hawa wabunge hawako tayari kujadili lolote baya likiwapata..mmeona yaliyompata Padri Kitima, hakuna hata mbungr mmoja aliyetamka hata jina tu la Padri Kitima..sabab wako hapo kwa ajili ya mtu mmoja aliyewapeleka humo bungeni..jibu ni kuunganisha nguvu na wananchi kuondoa hawa wajinga na hilo genge wanaloliogopa na kudhani ndio linalowafanya waingie humo.