Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

Dhana potofu ni ngumu kuzidhibitisha hata serikali yenyewe inabidi ikajenge hoja mahakamani, tuachie mahakama na sii juu ya mtoa mada kuidhibishia jamii juu ya hili.
 
Ac
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake.
Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi?

Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza kukubaliana na mimi kuwa yule bwana ni gaidi 100%, weka pembeni mihemko anza kufatilia kwa umakini zaidi.

Angalia haya matukio chini alafu utapata jibu;
  • Kifo cha Chacha Wangwe; huyu wote tunakumbuka kilichotokea baada tu ya kuhoji hoji ukomo wa madaraka chamani na matumizi ya ruzuku.
  • Kulishwa sumu Zitto ; Zitto alinusurika Kulishwa sumu na kuuwawa, kila kitu kilienda sawa ili kumuondoa ila umahiri wa zitto kwenye kutegua mbinu za kigaidi ndio uliofanya awe hai Hadi leo. Kosa ni kutishia nafasi ya mwenyekiti
  • Kutishiwa maisha Dr.Slaa ; baada ya Dkt. Slaa kuamua kuachana na siasa kipindi cha kampeni baada ya ujio wa lowassa. Bwana yule hakupendezwa kabisa na Hilo suala hivyo akaapa kumshughulikia Slaa. Slaa baada ya kuona hivyo akaamua kukimbia kabisa nchini ili kuokoa uhai wake.
  • Kupotea Ben Saanane ; huyu wengi walikuwa wanaisingizia serikali lakini alikuwa na bifu nzito sana na boss wake na huenda boss wake aliamua kumshughulikia eti kwa sababu alikuwa bado anawasiliana na Dr.Slaa na Kuna Siri za chama anampa Slaa.
  • Sumaye Kutishiwa ; baada ya Sumaye kuonyesha nia ya kugombea akaambiwa kule Arusha kuwa sumu haionjwi. Wengi tunakumbuka Sumaye alivyotishwa na kama angeendelea kung'ang'ania basi Leo tungekuwa tunaongea mengine
Hayo ni baadhi tu ya matukio mengi ambayo serikali ilipaswa kumtia nguvuni bwana yule muda mrefu sana, kwa hili nailaumu sana serikali kuchelewa kugundua haya magaidi ambayo yamejificha nyuma ya siasa.

Tuupige vita ugaidi, tuwamulike magaidi wote wanaojificha nyuma ya kivuli cha siasa.
Acha upuuzi wewe unasaidiwa kutawadha na akina Mbowe uwe na shukrani.
 
Kiongozi umenena vyema hakika huyu jamaa ni Gaidi aliyejiona kuwa yuko juu ya sheria

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wafuasi wa cdm hawatoelewa hii, majamaa yamejitolea kuwaamn wanasiasa kulko hata maisha yao, moja ya sifa ya mfuas wa demokrasia ni kutobase kwenye mfumo mmoja hasa pale unapokosea, yaan uwe tyr hata kumuhukum yule unayemuamn maana nae anaweza kukosea, sasa hawa wafuas wa cdm wanaamin viongoz wao hawajawai kosea wala hawakosei, huu n upuuz ndyomaana niliacha kuwa shabik wa vyama vya siasa za Tz maana majitu haya hoji undani wa mambo yanayohusu wale wanaoawaamin wala huruhusiw kuhoji wala kuhukumu akikosea kiongoz, zaid ya kuunga mkono hata upuuzi,,Tz hakuna chama chamaana sio upinzan wala sio ccm wote ni wale wale wapuuzi wanaotofautiana upuuzi tu, na wote wana ushetan ambao wanaufanya il kuzid kubaki madarakan kwa muda mrefu, kuna upuuz unaofanywa na upinzan endapo ukiwekwa wazi bas wale wenye akili timamu wataachana na siasa chafu, lkn wale wafia uchafu watakupinga kama wapingavyo ktk hii post, na pia kuna ushetan wa chama tawala, inshort hakuna msafi ktk siasa, wote ni washenzi tu sema wanatofautiana viwango vya ushenzi, kama ccm n wauwaji na wanatumia udicteta kubak madarakani, jua kuwa hata wapinzan hasa cdm wanatumia uo uo udicteta kumbakiza mwenyekit madarakan na yeyote anaehoji anashughurikiwa ipasavyo,,hii ni spesho kwa wale wasio base upande wowote wa siasa, kama unaonea upande wako , haukosei basi ujue kuwa upo ktk level ya upofu wa mahaba ya siasa yaan huoni wala husikii, na hii ndyo ile level ambayo hata wafuas wa mpira na mapenz wakiifikia inaitwa True love yaan unapenda bila kujali maneno ya watu, wala kujari mapungufu ya kile au yule unaempenda..but in reality kuna upungufu mkubwa na uchafu ambao huwez uona mpka utoke nje ya box la mahaba yakipuuzi[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom