Wanasiasa wanaotokana na hasira za kukatwa na vyama vyao na kuhama wachukuliwe kwa tahadhari!

Wanasiasa wanaotokana na hasira za kukatwa na vyama vyao na kuhama wachukuliwe kwa tahadhari!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi.

Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu kkukimbilia mahali ambako atapata jukwaa na wakati mwingine akilikosa Hilo jukwaa huanza kuleta nongwa nyingi nyingi.

Mimi napenda sana uhuru wa kisiasa yaani mtu afanye tathimini na kuona ni sera zipi zinafaa kupata uongozi wa kulifikisha taifa kwenye ndoto yake.
 
Back
Top Bottom