Wanasiasa wengi hawajui maana ya Bandari, wanadhani ni kutuma na kupokea Mizigo tu!

Wanasiasa wengi hawajui maana ya Bandari, wanadhani ni kutuma na kupokea Mizigo tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Pwani ya Tanzania ambayo inategemewa na nchi zaidi ya 6 za Africa ni zaidi ya Bandari.

Nguvu ya Bandari ya Dar es Salaam iko kwenye Uchumi wa nchi, Usalama wa nchi na Siasa za nchi kwa majirani wanaotuamini kupitisha Mizigo ya nchi zao.

Tunapojadili uwekezaji wowote wa Bandari, uzalendo hutangulizwa na watu lazima waangalie nchi siyo vyama.

Mungu wa mbinguni awe nanyi!
 
Nchi kama Burundi, Rwanda, Uganda na Congo walivyo na migogoro ya kivita uwaambie wapitishe mizigo yao kwenye bandari ya Dubai watakubali kweli?? Usalama wa nchi kwanza, faida na ujazaji wa matumbo yao baaadae
 
Back
Top Bottom