J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jun 8, 2023 #1 Pwani ya Tanzania ambayo inategemewa na nchi zaidi ya 6 za Africa ni zaidi ya Bandari. Nguvu ya Bandari ya Dar es Salaam iko kwenye Uchumi wa nchi, Usalama wa nchi na Siasa za nchi kwa majirani wanaotuamini kupitisha Mizigo ya nchi zao. Tunapojadili uwekezaji wowote wa Bandari, uzalendo hutangulizwa na watu lazima waangalie nchi siyo vyama. Mungu wa mbinguni awe nanyi!
Pwani ya Tanzania ambayo inategemewa na nchi zaidi ya 6 za Africa ni zaidi ya Bandari. Nguvu ya Bandari ya Dar es Salaam iko kwenye Uchumi wa nchi, Usalama wa nchi na Siasa za nchi kwa majirani wanaotuamini kupitisha Mizigo ya nchi zao. Tunapojadili uwekezaji wowote wa Bandari, uzalendo hutangulizwa na watu lazima waangalie nchi siyo vyama. Mungu wa mbinguni awe nanyi!
Cash Generating Unit JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 13,286 Reaction score 39,418 Jun 8, 2023 #2 Mbunge kajitahidi ana elim ya form 4, hata hajui uchumi ni nini. Kuna haja ya kuwa na wabunge wasomi
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,174 Reaction score 16,794 Jun 8, 2023 #3 Nchi kama Burundi, Rwanda, Uganda na Congo walivyo na migogoro ya kivita uwaambie wapitishe mizigo yao kwenye bandari ya Dubai watakubali kweli?? Usalama wa nchi kwanza, faida na ujazaji wa matumbo yao baaadae
Nchi kama Burundi, Rwanda, Uganda na Congo walivyo na migogoro ya kivita uwaambie wapitishe mizigo yao kwenye bandari ya Dubai watakubali kweli?? Usalama wa nchi kwanza, faida na ujazaji wa matumbo yao baaadae
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jun 8, 2023 #4 elimu muhimu sana
Mimi Ni Mtu Wa Mungu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2021 Posts 679 Reaction score 1,295 Jun 14, 2023 #5 Dah alikuwa mbunge wa wapi huyo