JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Uongozi ni namna ya kushughulika na katatizo yaliyopo.
Kipindi Cha Awamu ya Tano, ilijikita kushughulika na matatizo ya wananchi kwa kiwapelekea miradi mingi haswa ili wafaidi keki Yao.
Miradi ya maji, umeme, barabara, hospital, elimu, n.k ndio ilikuwa kipaumbele.
Wanasiasa walilia sana na wakaishi maisha ya kawaida mno. Wakapiga kelele kila Asubuhi maana mikate ilikata.
Awamu ya Sita wananchi wanaishi bila kujua kesho itakuwaje, vitu vinapanda Bei, Tozo zimeshamili hadi wanaambiwa wahamie Burundi.
Wanasiasa wanalamba Asali, wanajipimia kwa urefu wa kamba zao. Wametulia tuli na hawana habari na wananchi. Sasa hivi watu hawajui watapata maji Wala barabara. Ila wanasiasa ambao siku zote tunaamini ndio watetezi wamerambishwa Asali na hawana habari na wananchi.
Mwanachi akihoji, anapigwa sipana na wanasiasa wakubwa.
Tumeona Mbowe akiwapiga spana BAVICHA wapunguze munkali.
Tumeona Zitto mramba Asali akiibua udini kwa mwananchi aliyehoji kusafirishwa kwa wanayama kipindi Cha Awamu ya pili, nne na Sita.
Nani awatetee wananchi na hari hii ngumu ya maisha?