Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Eti nini..deal gani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] wakati hizo deal ni zilizokua biashara za mumewe...jumbo camera house...mashamba..nk
Ila ni mzuriii angepungua tu
 
Umemuona mara ya mwsho lini...
Sasa hivi kanenepa kawa mbaaaya...na hivi hana shepu.
Mh sura imejaa km nini
Better alivyokuwa kimodo ...
By the way mwanamke kunnenepa baada ya kufa mumewe ina ashiria nn..[emoji12] [emoji12]
Ni mnyakyusa?
 
Wewe bna ivi unamjua Nyalandu? Unajua kitu anayo tafuna? Unamfahamu Aliekuwa mbuge wa njombe Marehemu Philip njombe, Mtafute uyo bibie alie achwa mjane ndo utajua hapo kwa Lema ni kawaida sana
 
Utakua na MATATIZO ya AKILI sio bure, sasa ulitaka wadada wasichangie au? Na mbona sioni sehemu ambayo wadada wameonyesha chukizo juu ya huu Uzi wa kusifia wanaoonekana kua na sifa!!?
"Mwenye afya haitaji tabibu," Jesus once said.

He then said, "Akupigaye shavu la kushoto, mgeuzie na la kulia."

Niliyoyazungumza, nimeyazungumza baada ya kusoma comments. Huenda wewe hukuwa miongoni mwa hao waliosema hayo.

Sitafuti "cheap sympathy" kutoka kwako kwa niliyoandika hata baada ya kuniambia nina "matatizo ya akili." BALI ni kwa sababu nimelelewa na kuikulia "MISINGI" hii.

Sitajibu tusi, kejeli, au vinginevyo. Sana sana namshukuru Mungu kwa kukutumia leo uwe kipimo changu cha hekima na uvumilivu then jioni nipate taji yangu ya ushindi.

"Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote." 1 Wathesalonike 5:15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…