Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

29a972f52f524cf048d65594668dbd2d.jpg
Km Michelle Obama!!!!
 
"Mwenye afya haitaji tabibu," Jesus once said.

He then said, "Akupigaye shavu la kushoto, mgeuzie na la kulia."

Niliyoyazungumza, nimeyazungumza baada ya kusoma comments. Huenda wewe hukuwa miongoni mwa hao waliosema hayo.

Sitafuti "cheap sympathy" kutoka kwako kwa niliyoandika hata baada ya kuniambia nina "matatizo ya akili." BALI ni kwa sababu nimelelewa na kuikulia "MISINGI" hii.

Sitajibu tusi, kejeli, au vinginevyo. Sana sana namshukuru Mungu kwa kukutumia leo uwe kipimo changu cha hekima na uvumilivu then jioni nipate taji yangu ya ushindi.

"Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote." 1 Wathesalonike 5:15
Huu ulokole huu [emoji23] [emoji23] hatari tupu, ila usinisomee Alhabadiri ya kilokole mkuu, sikuchokozi tena nisamehe sana!!
 
Dah! Wangu hivi unafikia hadi kwa mke Wa jamaa!?
 
Back
Top Bottom