GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #241
Hapana nataka nikupe mlingoti wangu uufanye ice cream.
Hope utaenjoy, kuliko kuandika upuuzi.
Team Vibamia mna taabu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana nataka nikupe mlingoti wangu uufanye ice cream.
Hope utaenjoy, kuliko kuandika upuuzi.
Mbona wakawaida sana? Giggy Money mzuri kuliko huyu.
Ndio tatizo la kukuachia usuck, ona sasa ushaanza kutangaza.Team Vibamia mna taabu sana.
Ndio tatizo la kukuachia usuck, ona sasa ushaanza kutangaza.
Sio poa mkuu.
Muangalie kwanza mama yako ana sifa unazosema kama hana bs kaa kmya ikibidi ushone domo lkoKatika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.
Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.
Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.
- Tabasamu zuri
- Macho mazuri
- Komwe zuri
- Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
- Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
- Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
- Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!
Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
urakoze cyane..merçi beaucoup!
Yani nilikua nasoma comment halafu niseme hamjamuona Sarahabiba... Ni mrembo alafu jembe balaaa.Mkulima wa nguvu na anawapenda wanae hadi raha. I love herMkuu unamjua wa marehemu Filikunjombe?
NkipalInsta anatumia jina gani?
...uzi ubwenge cyane!urakoze cyane
Si utani mke wa Daudi Bashite ni kifaa tena ana black beauty ile natural.
Vipi kuhusu Mama Mwanamwema Shein?Wa makonda mzuri
Mama salma mke wa jk mzuri
Mke wa pinda mzuri
Mke wa mbowe mzuri
Josephine slaa mzuri
Hahahaaaaaa..Mambo ya fwedha mkuu, sasa mke yuko huku kwetu Kwamtogole, asubuhi anafikiria kwenda Ada Estate akaokote miti iliyopunguzwa ili apate kuni. Hayo mawazo ya gym na dieting atayapata wapi?
Mkuu hata wewe mbona mzuri kuliko hata Halima Mdee? ?Katika kufuatilia fuatilia Wake za Wanasiasa hapa nchini Tanzania jana ndiyo nimegundua kuwa kumbe Lema alikuwa na maana yake alivyokuwa analia, kukonda na kung'ang'ania kutoka Kolokoroni alikokuwa kwa takribani siku 121.
Ukweli ni kwamba Mke wa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema aitwae Neema ni Mrembo hasa na leo nidiriki tu kusema ukweli wangu wa kutoka moyoni kabisa kuwa sijawahi kuona Mwanasiasa wa Kiume hapa Tanzania tokea ipate Uhuru wake mwaka 1961 mwenye Mke mzuri na mrembo wa kweli kabisa kama Mke wa Lema.
Neema Mke wa Mbunge Lema ana.......
Enyi Wanasiasa wengine wa Kiume wa Tanzania igeni kwa mwenzenu Mbunge Lema kwa kujua kuchagua Mke very photogenic kwani yawezekana Lema anafanikiwa sana Kisiasa kutokana na ushirikiano mzuri wa Kiurembo kutoka kwa Mkewe ambao humtia moyo Mumewe na kuweza kuchapa kazi vizuri na kuwa Mtendaji na Mwanasiasa mzuri.
- Tabasamu zuri
- Macho mazuri
- Komwe zuri
- Miguu myembamba inayokubali Nguo zozote na hali ya hewa yoyote ile
- Meno yake yamejipanga na yamepangika kimwonekano
- Ana superb body structure kuanzia mabegani Kwake hadi Magotini
- Anajua kupangilia nguo vizuri na zinampendeza hasa
Kuna wengine Wake zenu huwa kila nikiwaona nao huwa najiuliza mlioa wenyewe kwa Utashi wenu au mlikabidhishwa tu Kimila hivyo kama mngewakataa mngelaaniwa!
Sijui na Mimi nitapata wapi Mke mzuri kama wa Mbunge wa Arusha mjini Mheshimiwa Godbless J. Lema Dada Neema ili nami niweze kutamba nae mjini hapa.
Tumbo la chips za manzese na bia,unategemea nini?Wow! Uko poa. Haya hebu geuka tuone tumbo!!